Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana

Wewe jamaa unataka kutuponza
 
Bro unaona imekaa sawa hiyo
unataka kusema dada poa na mchumba ni sawa?? Mbona kama huelewi kitu..huduma anayotakiwa kupatiwa mchumba usikariri ni kufanyiwa mambo makubwa makubwa tu kama kusomeshwa,,,kuna huduma ndogo ndogo pia unazoweza kumpa ambazo huwezi kuzitoa kwa hao madada poa labda uwe zuzu,,,jaribu kutofautisha bro.
 
Back
Top Bottom