Mchumba hahudumiwi vijana

Hata kabla fresh tu

Kwani nikikuomba 200k saiz hunipi πŸ˜…πŸ˜…
Inategemea na ulipo πŸ˜€ kama uko Mwanza huwezi kupata, ila kama unaweza fika nilipo hapa mjini DSM unaichukua vizuri tu.
 
Mbona Murvy yanainjoy tigo yako for free 🀣 🀣 🀣 na hulalamiki
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Atiiii ni mbwembwe tu najipenda bado
 
Inategemea na ulipo πŸ˜€ kama uko Mwanza huwezi kupata, ila kama unaweza fika nilipo hapa mjini DSM unaichukua vizuri tu.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…200k ni hela ya kumfanya mtu afate ulipo🌝🌝🌝

Itume tu nipeleke kikoba
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Atiiii ni mbwembwe tu najipenda bado
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Uendelee kujipenda hivyo hivyo...
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…200k ni hela ya kumfanya mtu afate ulipo🌝🌝🌝

Itume tu nipeleke kikoba
🀣 Haya bana we endelea kusubiria hio Million ya bwana bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…