Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Similarly kutoa chiu ni jukumu la kisheria kwa mwanamke. Maana ameolewa ili aje alale chiu na sio kubana. Na akimnyima mume wake, mume anaweza kwenda kumshtaki kwamba mke wangu hanipi huduma na hana sabbu. It works both ways.

Mimi nasupport wanaume wasihudumie wapenzi maana sio jukumu lao..tena kwa asilimia 100. Lakini na nyie wanawake msitoe hizo nyuchi maana sio kazi yako. Mambo ya kwenda kufanya usafi, sijui kupika achana na hii habari. Wewe sio mke.

Kama anataka wewe ufanye hayo, agharamike..aonekane kwa wazazi wako. Kazi ya mwanaume ni kutafuta kipato tangia mwanzo in the bible...kazi ya mwanamke ni kumsaidia mwanaume huyu ikiwemo kumzalia kwa uchungu.

Tunatakiwa kucheza humu. Majukumu ya kindoa ni baada ya agano ama kufungishwa na shehe. Its crystal clear.
Na uzi na ufungwe umemaliza
 
ukitaka mwanamke akuzalie mtoto mzuri, muhudumie mpaka azae, maana bila hvo, hawashiki mimba hawa, akizaa mtunzee, utamuoa chap. Endelea kuhudumia. Atkua mtu bora sana kwako.
Wewe hudumia
Na ukigundua hio mimba haikuwa yako utafanyaje😀
 
Demu wangu wa chuo kaniomba 25k akaprint project. Nkabeba 30k mdogo mdogo naenda kwa wakala huku naperuzi jf. Nikiwa njian nkaona uzi huu then nikawa nawaza, gari iko garage inatakiwa nkaichukue.. halafu wese sidhan km litanifikisha home. Nkagairi kwenda kutuma nkasema hii hela ntaweka wese.. demu ana bumu, ana wazazi
 
Demu wangu wa chuo kaniomba 25k akaprint project. Nkabeba 30k mdogo mdogo naenda kwa wakala huku naperuzi jf. Nikiwa njian nkaona uzi huu then nikawa nawaza, gari iko garage inatakiwa nkaichukue.. halafu wese sidhan km litanifikisha home. Nkagairi kwenda kutuma nkasema hii hela ntaweka wese.. demu ana bumu, ana wazazi
Sasa ulimjibu nini baada ya kughairi kutuma?
 
Ikiwa una mwanamke anakupa nyapu tu kwa sababu unampa pesa basi huyo ni malaya (prostitute) tu, tafauti yake na wale wanaokaa barabarani au katika vyumba na kuhudumia yeyote yule ni kuwa ulie nae ni wale wanaoitwa high class/maintenance prostitute.

Lakini wote wanauza tupu zao mmoja anauza kwa yeyote anaetowa pesa pale pale wakati wako anakuuzia na daima unamlipa kwa pesa na zawadi tele. Usawa wao ni mwisho wa siku unamwaga wazungu ndani ya K zao tu!
Umetoa maelezo mengi kweli ila nasikitika kuona kuwa comment yangu hujaielewa ipasavyo.
 
Hata jogoo anahonga mijusi na minyooo ya ardhini. ,,

Mwanaume kuhonga kunakuongezea marks ktk mahusiano.
 
Back
Top Bottom