Mchumba hahudumiwi vijana

Sisi tunakula za tuwapendao
 
Usiumie, mbona mambo ya kawaida tu hayo.
 
"kama hana mkono wa birika" unampa bf wako hela sababu anakupaga hela, mbona sisi wanaume tunawapa hela ingawa tunajua nyie wadada huwa hamtugei hela Amehlo
Nature inasemaje😂😂😂

Sis si ni wapokeaji ko kutoa ni mara moja moja

Hata nyie si mnaangalia pa kutoa
 
Nature inasemaje😂😂😂

Sis si ni wapokeaji ko kutoa ni mara moja moja

Hata nyie si mnaangalia pa kutoa
Kwenye hela nature ndio kila kitu na si 50/50 hapo ndio ninapo wakubaligi wanawake .
 
Hata jogoo anahonga mijusi na minyooo ya ardhini. ,,

Mwanaume kuhonga kunakuongezea marks ktk mahusiano.
Kijana una umri chini ya miaka 40 una honga mwanamke je unainvestment za uhakika au una urithi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…