Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Kampige lipu ili aongezeke unene
acha masihara wewe!!
Kwani wao ndio wanaooa au wewe??Jamani wana jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba 'angu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta. Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda!!!
heeee! Mamodo tuandamane haiwezekani tubaguliwe tunajiona
Kwani wao ndio wanaooa au wewe??
Basi barikiwa na dada zako.....anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
heeee! Mamodo tuandamane haiwezekani tubaguliwe tunajiona
ila hao dada zangu wao wote ni vibonge kweli kweli aisee!!!
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Umesema wewe ni model?
heeee! Mamodo tuandamane haiwezekani tubaguliwe tunajiona
we mmakonde usinivizie nisije nikasahau kwetu
nawe ni type hyo, hahahaah