Mchumba kakataliwa kisa shepu

Mchumba kakataliwa kisa shepu

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.

Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.
 
Jamani wana jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba 'angu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta. Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda!!!
Kwani wao ndio wanaooa au wewe??
 
acha ushamba wewe, kila mtu na chaguo lake, wewe kama moyo wako hujampenda huyo kaka sawa, lakini eti umuache kisa mwembamba? kwani yeye alipenda awe mwembamba? kwa nini hao dada zako hawakukwambia toka zamani kuwa ikiwa unatafuta mchumba basi tafuta mnene? hadi umempotezea kaka wa watu muda wake? shauri yako tafuta laana tu!!
 
Dada hawatakua na nafasi kwa suala la sura ama umbile la mama watoto wangu mtarajiwa, kama itakua ni tabia ndio nitawasikiliza ila nitachunguza undani wake.
 
Back
Top Bottom