Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Unapotaka kuoa suala la ndugu lina uzito wake ya nini kuoa au kuolewa wakati hukubaliki na ndugu? Ukipata tatizo ndugu watakutenga na kejeli juu kwamba tulimwambia hakusikia! Ndo maana mchumba anatambulishwa ili ndugu jamaa na marafiki watoe comments kama ndugu wana walakini na mke mtarajiwa ni bora ukaachana nae!
Wanaume wa aina yako ni janga hapa ulimwenguni. In short we ni WA KIUME sio mwanaume! Yaani mkeo ni lazima akubalike na ndugu na rafiki!!!! We kweli m........
Mjaze upepo
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.
tena amjaze kwa pump ya umeme awe kama matairi ya trekta!
Yani miaka hii mtu unapangiwa mke wa kuoa?
nani kasema wembamba hawapendwi??heeee! Mamodo tuandamane haiwezekani tubaguliwe tunajiona