Mchumba kakataliwa kisa shepu

Mchumba kakataliwa kisa shepu

sasa kwa nini umekuja kuuliza kwa ndugu wa matumbo mbali mbali kama wa tumbo moja ni muhimu.

ninahitaji mawazo kutoka kwenye akili tofauti tofauti na sio matusi na kejeli kama wengine wanavyonitukana humu....haya ya kwangu yatakuja yakukute wewe au ndugu yako wa karibu kongosho..shauri yako!!
 
Mwanaume mzima unakosa msimamo, walau wangesema anatabia zisizorizisha/hatarishi sio huo utumbo. kwani wewe ulimchagua usiku au kakunywesha libwata nin
 
Akatumie mchina ---- litakuja tu...hakuna cha shepu wala nini hao dadazako wanataka awe na ----
 
Mwanaume mzima unakosa msimamo, walau wangesema anatabia zisizorizisha/hatarishi sio huo utumbo. kwani wewe ulimchagua usiku au kakunywesha libwata nin

very strange yaani watu kitu kidogo tu wanashindwa hata kufikiria na kujifanyia maamuzi sijui maswala mazito itakuaje kwenye ndoa
 
Wanaooa dada zako au ww by the way dada zako wana shape?

Hajitambui
Hate wanaume wa hivi jaman
Unaoa shepu jaman watu tonatofautiana kwa hiyo akiwa na shepu na tabia mbaya ataoa tuu
Cos kigezo ni shepu
 
Hajitambui
Hate wanaume wa hivi jaman
Unaoa shepu jaman watu tonatofautiana kwa hiyo akiwa na shepu na tabia mbaya ataoa tuu
Cos kigezo ni shepu
anaonekana hayuko tayari kuoa nothing else.
 
Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.

kuna mwingine jirani yangu alimpa kichap ma mkwe na mawifi zake,yani alitandika maana walikua wanamsakama kila kukicha,na alikua akimwambia mumewe hachukui action yoyote, alimpiga mama mkwe na mawifi mbele ya mume wake,yani huyo dada alikua mpole sana,aliumilia ila hiyo siku hakuna mtu aliamini action yake,alivyomaliza kugawa kichap alifungasha kabeba watoto akasepa
 
huyo hakuwa mke ni cho.koraa tu!!
 
Mkuu mleta mada, jiulize hiyo shape ambayo dadazako wanasema mbaya hukuiona au uioni kwa huyo mwenzake(mchumba)? najua dada zako hawawezi kukutakia jambo baya ila kama ingekuwa ni tabia mbaya za huyo mwenzako ningekuunga mkono, ila kwa kuwa wametaja shape, basi nakushauri achana na hao dada zako, labda tu kama wameona dalili fulani za tabia mbaya, hapo ndio ufikirie upya.
 
Pole sanaa mkuu...ingawa wanakucheka hata brother yangu yaliwahi mkuta kama haya yakwako ila yeye alikomaa sana mpaka akamuoa huyo demu wake!!
 
kaa kwahiyo anaeoa ni dada au wewe? nahisi bado hujafikia stage ya kuoa bado. sithani kama ungeuliza hilo swali!
 
Ndo maana yake, wewe kama huna maamzi na unategemea utashi wa dada zako na si feelings zako sasa hapo sisi tukusaidieje?

Anayeolewa ni wewe au wao? Wembamba tu ndo kigezo cha kumkataa mshikaji? Basi wakutafutie Mh john Komba kama wanataka Mnene
Mkuu umechanganya madesa, mtoa post ni mwanaume na si mwanamke kama unavyo insinuate.
 
Hao wadada wanaweza kuwa wasa.gaji! Fwatilia vizuri! Haiwezekani wamkatae wifi kisa shepu. Ingekua sababu ni tabia sawa lakini SHAPE, inawahusuje wao kama sio wasagaji?

Unaweza kuja ambiwa mwingine hamataki sababu chuchu kubwa.
 
Back
Top Bottom