Mchumba kakataliwa kisa shepu

Achana na dada zako, muoe mchumba wako. Lakini inaonekana na wewe pia uko upande wa dada zako,basi kama ndivyo, akisha zaa tu mpe supu na mtori ataumuka huyo hadi utashangaa.Duniani hakuna mwembamba.
 
subiri baraka za dada zako huyo usimpotezee muda mwache aolewe na mwengine atakaempenda
 
Achana na dada zako, muoe mchumba wako. Lakini inaonekana na wewe pia uko upande wa dada zako,basi kama ndivyo, akisha zaa tu mpe supu na mtori ataumuka huyo hadi utashangaa.Duniani hakuna mwembamba.

Mfungukie tu mkuu kwamba, kuwa sana upande wa akina dada zetu kunakufanya na wewe kuwa na mawazo ya udada-udada pia kimisimamo.
 
Kwani mke wao au wakwako.Na unawapaje nafasi kumjadili mchumba wako.we si ulienda kumtambulisha au kumthaminisha?
 
Sasa ukatafute mwenye shape huko Mwanza au Tanga au Bukoba au Rwanda ili kuridhisha dada zako! Afu nao wakitaka kuolewa uwakatalie wakileta watu usiowataka sawa soldier!!
 
Kwani unawaolea wao! Waambie wapite hivi!
 
Yaan mi siku athubutu ndugu sijui nani amkosoe laazizi wangu patachimbikaaa,mapenzi upofu
 
mpe miaka mitano tu ndo utajua shepu huwa zinajificha, utashangaa atakavyokuwa na shepu ya duara!

halafu hao dada zako nahisi gym imewakataa sasa wamebaki wivu tu kwa kimobitel chako!
 

...samahani mdogo wangu,naomba kujua,huyo mchumba ni wa nani ? wa kwako ? au wa dada zako ?...
 

Waambie shepu ya pappuchi ipo poa au wapigie picha uwaonyeshe wakiendekea kukataa watakua na nongwa
 
Huko sio kutambulisha ni kuwaonyesha. Kama umewaonyesha na hawajamkubali, basi tafta wanaemtaka dada zako.
 
Mbina waarabu wanaoa dada zao.
Jiongeze wanamaanisha wapo open ili upate baraka za tumbo moja
 
Duuh sijui tufanyaje na wewe hutaki ku push gari zenye 4WD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…