neha mimi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 344
- 152
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Kwahy ss unatak kusemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
ni slender..nilikosea spelling!!!
Achana na dada zako, muoe mchumba wako. Lakini inaonekana na wewe pia uko upande wa dada zako,basi kama ndivyo, akisha zaa tu mpe supu na mtori ataumuka huyo hadi utashangaa.Duniani hakuna mwembamba.
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.

Basi barikiwa na dada zako.....
usiendelee kumpotezea muda binti wa watu....
Huyo hapana hata bure....Haya nakupa huyu kitu bonge: Evelyn Salt, ushindwe mwenyewe
Kweli inatakiwa ajitegemee kimawazoMfungukie tu mkuu kwamba, kuwa sana upande wa akina dada zetu kunakufanya na wewe kuwa na mawazo ya udada-udada pia kimisimamo.
Na wewe ni modo ,weka picha tuoneheeee! Mamodo tuandamane haiwezekani tubaguliwe tunajiona
Duuh sijui tufanyaje na wewe hutaki ku push gari zenye 4WDJamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.