Mchumba kakataliwa kisa shepu


mke mtarajiwa au mke si chaguo dogo. kama ww mwenyewe unamkubali kwa vigezo vyako vingine ikiwemo hyo shape yake go for her ila kama ww ni mtu ambaye hujiamin na mwenye kutegemea maamuz ya watu wengine achana na huyo dada.
 

Kwani dada zako ndo wanamuoa huyo dada au wewe?Halafu wanaume wa hivi nawachukia nyieeee!!!Yaani mnaendekeza kusikiliza maneno maneno ya ndugu yasiyo na kichwa wala miguu!!!Ningewaona wana point endapo mmoja angesema anamfahamu mchumba wako ni changudoa mzoefu lakini eti mwembamba??Afu na wewe mwanaume mzima unakuja kuleta hii mada tukusaidie ushauri kweli??We akili za kufikiri huna? Basi mtafute Asha boko umuoe uwaridhiishe dada zako!! Nya........
 

mtoa mada ni mwanaume, mchumba wake ambaye ni mwembambaaaa ni mwanamke
 
Sasa wewe umeamuaje sababu hapa kupenda ni ndani yako sio ushauri wa watu.Kama wewe magari makubwa huyawezi kwa nini wanakulazimisha?Wewe chukua potable wako basi magari makubwa yanaitaji pumzi arifuu
 

Mkuu, ulienda kuwatambulisha au kupata idhini yao. Hivyo ni vitu viwili tofauti. Kama ni kupata idhini yao hayo ndio matokeo lakini kama ni kuwatambulisha hilo suala lingine. Mwanaume ogopa kuchaguliwa mke na dada zako. Mbele ya safari majanga. Utashangaa hao wanaomkataa binti wa watu hawajaololewa wala hakuna dalili - labda tusitumie lile neno la manungayembe.
 
wewe ndo umempenda bwana nakushauri umuoe masister zetu bwana huwa wanamatatizo sana unaweza ukamuacha ukao mwingine ambae watampenda alafu akawa balaa ndan ya nyumba
 
kabisaaa ........mwanaume wa hivyo tegemea kuishi kwa shida nyumba itaendeshwa na ndugu zake.

Imagine twin unamshauri kitu mumeo anakwambia subiri kidogo,then ananyanyua simu kumpigia dada yake kwanza apewe go ahead!
Wallahi namnasa kofi!!
 
Kitendawili: "labda itokee tu, mhhh, lakini mimi nafsi yangu inapenda wale....."🙂
 
Imagine twin unamshauri kitu mumeo anakwambia subiri kidogo,then ananyanyua simu kumpigia dada yake kwanza apewe go ahead!
Wallahi namnasa kofi!!

Inauma sana twin....tutapigana ndani kila siku
 

Shapeless?? They must be kidding,nowdays watu wanaangalia upstairs(IQ) kama yupo njema ndo jambo la msingi,hayo mengine vikolombwezo tu,
 
Kumbe dada zako? Nilijua wazazi, btw hao dada nadhani wanaishi maisha ya kufikirika, wakupe basi sababu za kumuacha model na kuchukua tipwa tipwa.
 
Huyo mchumba bora ale zake kona...sio familia ya kuolewa hiyo, na mume mtarajiwa mwenyewe hana hata msimamo mbele ya dada zake kuhusu muonekano wa mchumba wake. Hujafa hujaumbika..akinenepa wakamkubali halafu akapata ajali akakatwa mguu si watakuja kumuhamisha na FUSO kabisa!
 

Team vivulana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…