Mchumba kakataliwa kisa shepu

Mchumba kakataliwa kisa shepu

Ht ww hujampenda baraka na kukuchagulia ni vitu tofauti kama ndo hivyo wape kazi wakutafutie wanaemtaka
 
kAmuoe wema sepetu...true love is beyond relatives,religion,parent...msimuoe huyo binti mana humpendi., ungempenda usingeona madhaifu.yake
 
Dogo acha mambo hayo unakuwa kama hujafikia umri wa kuoa bana......humpendi huuo binti baas
 
nakushauri umuache manake waoaji ni dada zako.

subiri umpate atakaye pendwa kwa shapu na dada zako
 
hivi kweli ww ni muoaji??
nafkiri wewe ni miongoni mwa wale wanaojaza seva za jf. kama vipi nenda equator grill kakatie jimama la ukweee uwapelekee.

mke sio unene wala shepu mke sio sura wala rangi mke ni tabia njema. na kila mwanamke ni mrembo inategemea unavyo mvesha tu
 
Mbona kazi ipo.

Kuwa na msimamo kama mwanamme bila hiyo huko mbele utamtesa mtoto wa watu wa kutoweza kusimama mwenyewe.
huyu sio muoaji mamitoo

muoaji anajua quality za substantial wife.........
 
Back
Top Bottom