Mchumba kakataliwa kisa shepu

Mchumba kakataliwa kisa shepu

Kama mwanaume hawezi kusimamia maamuzi yake mwenyewe....... HAFAI
 
Yaani mpaka nakushangaa ujue, kwani hao dada zako ndo wanamuoa huyo binti wa watu?
Ww huna msimamo kwa maamuzi ya maisha yako?
Ulienda kumtambulishaa ili dada zako wakusaidie kumdescribe dada wa watu au kwasabu umeridhika naye na ukaona anafaa kuwa mkeo?
Aibu iwe kwako, kuwa na msimamo ww
 
Yaani mpaka nakushangaa ujue, kwani hao dada zako ndo wanamuoa huyo binti wa watu?
Ww huna msimamo kwa maamuzi ya maisha yako?
Ulienda kumtambulishaa ili dada zako wakusaidie kumdescribe dada wa watu au kwasabu umeridhika naye na ukaona anafaa kuwa mkeo?
Aibu iwe kwako, kuwa na msimamo ww

mbona mnanisimanga sasa jamani?!!
 
kwakuwa dada zako hawajaolewa, na wanawajua wanawake wazuri waambie wakutafutie.....
 
mkuu

KUNA MTU ASIE NA SHEPU????

ANASIMAMIA NINI INAMAANA YEYE NI LOQUID LIKE????
MAMBO MENGINE YA KISWAHILI SANA


na wewe unamtambulisha kwa dada zako iliii???

wamjue tu mkikutana katika mabo mbalimbali
WANAOPASA KUMJUA NI WAZAZI TU

KWA MAANA HIYO HUJUI CHA KUAMUA???
 
Hapo bado mitihani ya ndoa.

bi dada mfano achelewe kushika mimba?

Uafrika kazi.

Heeeeeee mpaka vinyweleo vimenisimama nalivyo waza hili! Kwa mwanaume wa dizaini hii na ma wifi hawa aombe aolewe na mimba! Tena ya mtoto wa kiume!
 
Sasa mkuu upo Njia panda gani hapo sinza nije nikupitie kwa gari yangu?
 
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.

Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.

Kama wanaweza kukuchagulia mchumba wa kuoa jiandae na kupangiwa maisha yako ya ndoa na dada zako,jisimamie mwenyewe na amini katika maamuzi yako.
 
mambo mengine sio ya kufanya uamuzi mgumu utakaojenga nyufa katika familia...ninatafuta namna ya kubadili their prejudiced mindset na kuona kuwa watu wote ni sawa...i think they need some sort of psychiatric counselling ili kuwabadili namna wavavyotazama mambo.

sasa mkuu ukifanikiwa kwenye hilo kwa dada zako na huyo mchumba ndo shepu itabadilika!
 
Sasa mkuu upo Njia panda gani hapo sinza nije nikupitie kwa gari yangu?

si afadhali hata ningekuwa hapo ningejua wa kunisaidia aiseee..humu naona watu wananisakama tu kwa kuwa hayajawahi kuwakuta!!!
 
Huhitaji baraka zao kutokana na wao kutoridhishwa na shape ya huyo mke mtarajiwa. Rudi kwao kawaambie wewe ndio ushapenda na unaendelea na mipango ya harusi.

anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
 
Mheshimiwa mleta uzi naomba nisaidie viswali hivi kwanza:
1. Una umri gani?
2. Je umeanza kujitegemea au bado unaishi kwa wazazi wako?
3. Je hao dada zako wana umri kukuzidi wewe na wao wanashepu gani?
4. Je hao dada zako wameolewa tayari?
 
sasa mkuu ukifanikiwa kwenye hilo kwa dada zako na huyo mchumba ndo shepu itabadilika!

mimi nimempenda kwa shape hiyo hiyo aliyonayo...nataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja yaani nimuoe yeye na kwa wakati huo ndugu zangu wamkubali...sawa mkuu?!!!
 
Back
Top Bottom