Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bado mitihani ya ndoa.
bi dada mfano achelewe kushika mimba?
Uafrika kazi.
Nafikiri ni vema akawauliza wanataka mke mtarajiwa awe mnene kwa kiasi gani, je awe dark skin au ......na pia aulize juu ya kimo ie mrefu au mfupi bila kusahau kiwango chake cha elimu, na kabila analotoka. Hii itasaidia kukidhi haja ya madada na kutorudia makosa. Shosti si unajua utaratibu wa kuoa kwa ajili ya familia kuna mengi ya kuangalia.
unasemea mitihan ya ndoa.....huko umeenda mbali sana
semea bado hajafanya harusi uone atavyo nangwa
Mbinu za kuwashawishi ili iweje? Anaeoa ni wewe au wao mwanaume wa hivi unaweza umtukane...............nyanoko!!!!
Imagine twin unamshauri kitu mumeo anakwambia subiri kidogo,then ananyanyua simu kumpigia dada yake kwanza apewe go ahead!
Wallahi namnasa kofi!!
Umeona eeh,hajitambui huyu. Ngoja na mm nimuongezee......nyanoko gete.
Hv huyu ni mwanaume, wakiume au mvulana.
na wanawake kama nyie ndio huwa hamuolewagi na kama mkibahatika kuolewa ndio huwa mnatukana wakwe zenu!!
Yaani ushauri tu ndio mnafikaa huko!!
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Jamani wana
Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba
wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya
jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu
pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape
hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani
naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.
ila hao dada zangu wao wote ni vibonge kweli kweli aisee!!!
mke mnakutana tu ukubwani wote mkiwa na meno 34 ila ndugu ni ndugu tu na wana nafasi kwa kiasi fulani (hata kama ni kidogo) katika ustawi wa ndoa...asanteni kwa wanaonipa ushauri chanya!!!