Mchumba kakataliwa kisa shepu

Mchumba kakataliwa kisa shepu

Kuna watu walikuwa wembamba miaka ya nyuma lakini sasa vibonge. Wewe umtengeneze unavyotaka huenda huwa ana keep figure.

Phenotype = Genotype + Environment
 
Mbinu za kuwashawishi ili iweje? Anaeoa ni wewe au wao mwanaume wa hivi unaweza umtukane...............nyanoko!!!!
 
Hapo bado mitihani ya ndoa.

bi dada mfano achelewe kushika mimba?

Uafrika kazi.

unasemea mitihan ya ndoa.....huko umeenda mbali sana

semea bado hajafanya harusi uone atavyo nangwa
 
Nafikiri ni vema akawauliza wanataka mke mtarajiwa awe mnene kwa kiasi gani, je awe dark skin au ......na pia aulize juu ya kimo ie mrefu au mfupi bila kusahau kiwango chake cha elimu, na kabila analotoka. Hii itasaidia kukidhi haja ya madada na kutorudia makosa. Shosti si unajua utaratibu wa kuoa kwa ajili ya familia kuna mengi ya kuangalia.

kama ni muelewa atakuelewa ila kama ni mbulula ataaish miaka 800 hawez ng'amua fumbo ndani ya kauli yako
 
unasemea mitihan ya ndoa.....huko umeenda mbali sana

semea bado hajafanya harusi uone atavyo nangwa

nyie mna akili za kiswahili sana...akili zako wewe na za hawa dada zangu hazina utofauti kabisaaaaaa!!!
 
mke mnakutana tu ukubwani wote mkiwa na meno 34 ila ndugu ni ndugu tu na wana nafasi kwa kiasi fulani (hata kama ni kidogo) katika ustawi wa ndoa...asanteni kwa wanaonipa ushauri chanya!!!
 
Mbinu za kuwashawishi ili iweje? Anaeoa ni wewe au wao mwanaume wa hivi unaweza umtukane...............nyanoko!!!!

Umeona eeh,hajitambui huyu. Ngoja na mm nimuongezee......nyanoko gete.
Hv huyu ni mwanaume, wakiume au mvulana.
 
Imagine twin unamshauri kitu mumeo anakwambia subiri kidogo,then ananyanyua simu kumpigia dada yake kwanza apewe go ahead!
Wallahi namnasa kofi!!

na wanawake kama nyie ndio huwa hamuolewagi na kama mkibahatika kuolewa ndio huwa mnatukana wakwe zenu!!
 
Umeona eeh,hajitambui huyu. Ngoja na mm nimuongezee......nyanoko gete.
Hv huyu ni mwanaume, wakiume au mvulana.

sikimbizani na chizi aliyeichukua nguo zangu---na nyie bila shaka mna dengue!!
 
Ngoja nikupe ushauri ndugu yangu....

Muache huyo aliyekataliwa, tafuta mwingine umpeleke..naye wakimkataa usichoke, tafuta mwingine...hali ikiendelea kuwa ngumu badilisha kabila, utaifa na hata race....yaani mzungu, muhindi, mchina n.k.....

Kwa hesabu ya harakaharaka kwa kukadiria miaka miwili miwili kutoka kuacha mmoja na kupata mwingine... itakuchukua takribani miaka arobaini hivi, plus uliyonayo sasa hivi...mmmh..let say una twenty five...by the time unafika miaka sabini hao dada zako nao watakuwa wameshachoka....so utaoa mwanamke unayetaka kwa raha zako na bila bugdha yoyote.

Tahadhari: usitumie ushauri huu kama wewe sio mlengwa...yatakayokukuta mimi sipo.
 
na wanawake kama nyie ndio huwa hamuolewagi na kama mkibahatika kuolewa ndio huwa mnatukana wakwe zenu!!

Una matatizo wewe,ndoa yangu ina over 10 yrs na mama mkwe wangu(R. I. P) alikuwa zaidi ya mama kwangu.
Peleka shida zako za kuchaguliwa mke na dada zako huko!!!
 
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!

really???hebu muache dada wa watu...she deserve better thab this......mwanaume ambae anategema dada zake waseme nini..ni 100% useless man...inaoneka hata ukija kuoa utasikilza ndugu zako na kumuona mkeo hana thamani.hata kwenye Biblia imeandikwa utawaacha baba na mama yako na kuungana na mkeo/mumeo......unajua maana ya haya maneno??????
 
Jamani wana
Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba
wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya
jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu
pale posta.

Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape
hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani
naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.

Wewe utakuwa na matatizo=, katika mapenzi wewe ndie mwenye maamuzi!
 
ila hao dada zangu wao wote ni vibonge kweli kweli aisee!!!

Mimi nafikiri bora uzingatie ushauri wa dada zako, kwani wewe binafsi huna uwezo wa kufanya maamuzi na mwisho utakuja kumtesa huyu mtoto wa watu kwani jambo kidogo huwezi amua mpaka ukimbilie kwa dada zako

Hao dada zako ni wake za watu watarajiwa, hawana uwezo wa kufanya maamuzi ya mke wa mtu mtarajiwa. NDOA nzuri ni ile yenye watu wawili wanaopendana na wasioweza kuyumbishwa na mtu yeyote atokaye nje yao hao wawili
 
mke mnakutana tu ukubwani wote mkiwa na meno 34 ila ndugu ni ndugu tu na wana nafasi kwa kiasi fulani (hata kama ni kidogo) katika ustawi wa ndoa...asanteni kwa wanaonipa ushauri chanya!!!

ivi wew unajitambua kweli,unaoa wew au dada zako ndo wanatumia hyo shepu ya huyo mchumba wako!kuna mawazo ya kuyasikiliza kutoka kwa ndug lakin mengne hayawahusu ,acha umbulula wew.
 
Kwani wao ndo wapigaji? Au wanataha kumsaga?
 
Back
Top Bottom