Mchumba / mke huu ni mwaka wa kihistoria popote ulipo toroka uje

Mchumba / mke huu ni mwaka wa kihistoria popote ulipo toroka uje

Kwa style ya kumquote Ngugi w Thiong'o,,nikichelewa kupika lazima utanisomea vifungu vya,"the beautiful ones are not yet born"nikichelewa kurudia utasikia "things fall apart" eeeeh balaa
🤣🤣
Sikuhizi kipengele Cha kuniita umekiacha ,?
 
Dear jf members kheri ya mwaka mpya 2024 ..........
Huu ni mwaka wa kihistoria katika maisha yangu ya hapa duniani ni mwaka ambao natarajia kufanya maamuzi magumu ya kufunga ndoa tukio ambalo nimeliwaza na kulisubiri kwa muda mrefu hayawi hayawi ..........

Huu ni mwaka wa 37 tangu nimezaliwa nimepambana kutafuta economic freedom nashukuru mungu kwamba nimefanikiwa Kwa asilimia nyingi.

Traditionally kwa umri wangu nimechelewa kuoa ila kwangu mimi bora nichelewe kuwa na familia ila niwe na economic freedom kwani familia sio basic needs mambo ya kuoa afu tunakuja kutafuta na mwakamke ilikuwa zamani mambo yamebadilika mwanamke atajazilishia palipopungua sipendi shida na umasikini kuliko Ukoma / HIV/ AIDS.

Hatua nilofikia sasa ninauwezo wa kusomesha watoto wangu any international learning institutions from kindergarten to university graduate without loan board wala kukopa kausha damu or any other loaning institutions na nikipata mke sitakuwa omba omba wa michango ya harusi kwa ndugu na marafiki badala yake nitawaalika kuja kushiriki (kula na kunywa) na kuondoka bila kuchangia chochote kwa sababu uwezo ninao.

Kwa kuwa mungu kaniwezesha kufikia malengo yangu kwa asilimia nyingi kama nilivyo muomba ni Imani yangu kuwa kupitia tangazo hili atanipa mke / mchumba na ndoa itafungwa na nitarudi hapa jukwaani kutoa mrejesho.

Tangazo hili la kutafuta mke naliweka hapa jukwaani kwa sababu
A. Kuokoa muda.
B. Waliopo hapa jukwaani ndo waliopo kwenye jamii.
C. Makutano. Jukwaa hili ni sawa na njia panda hukutanisha watu wa umri na jinsia mbali mbali.
D. Maamuzi. Hapa ni pa kukutania ila maamuzi ni ya mtu binafsi jukwaa hili halimfanyii mtu maamuzi hivyo dhana potofu kuhusu kutafuta mchumba mtandaoni haina nafasi kwangu..........

Ngugi wathiong'o kwenye kitabu chake cha " I will marry when I want " aliwahi kusema " two is better than one "
After long and tough process of achieving stated goals now am looking for spouse to form a bond to be two.

Wasifu wangu.
A. 37 years of age.
B. Public employees & commercial services.
C. University education background.
D. Christian.

Wasifu wa mke.
1. From 25 - 37 years of age.
2. Mwenye utayari wa kuolewa
3. Any education background.
4. Single mother simtaki.

Mawasiliano
A. Pm
B. Email: kamesaibrahim@gmail.com

Nb. Mwenye kuwiwa toroka uko ulipo uje tuyajenge huu ni mwaka wa kihistoria wa maisha yangu na yako.
Wewe mtu mzima ujue, ujana mwisho 35. Mtoto wako wa kwanza akiwa 20, wewe utakuwa na 60.
Tafuta single mom mwenye mtoa 10 yrs usomeshe uwahi kabla hujaanza kupungua nguvu.
 
Kwa style ya kumquote Ngugi w Thiong'o,,nikichelewa kupika lazima utanisomea vifungu vya,"the beautiful ones are not yet born"nikichelewa kurudia utasikia "things fall apart" eeeeh balaa
Usichelewe, the time is now😅
 
Mkuu kwaiyo unafikiri kwakuwa sasa una uwezo wa kusomesha wanao international schools to college graduates basi ndoa ndio itakuendea vizuri, kwamba utaimudu sasa?

Aise haya bhana.
 
Duh umeshangaa au umehamaki? Umeambiwa utoroke huko uliko kama hakueleweki.
Nimeshangaa
Hapana Niko single na huko siendi mi sio wa kusikilizia km nitapata mkuu🤣
Huu Uzi uko pm itakua balaa
 
Back
Top Bottom