Mchumba / mke huu ni mwaka wa kihistoria popote ulipo toroka uje

Mchumba / mke huu ni mwaka wa kihistoria popote ulipo toroka uje

Hivi unakuwaje single? Hauhisi kupungukiwa?😁
Ss km hujapata mtu unafanyaje? Ulazimishe?
Au una mtu haeleweki wa nn?
Bora ukae single,ujitathimini ujue shida nn,unakosea wapi, au unawakubali wasiokuwa sahihi,etc🤣🤣

Kuwa na mahusiano ambayo hayana ni tija ni ujinga🤣
 
Vijana wanawakataa kila kona mwambie baba mtoto akuoe
Hapana mkuu mi Sina mtt
Nilikuwa nawatetea tu single Maza

Ila huku kitaa Wanaolewa tu mbona
Huku jf tu ndo mnawakataa🤣
 
Wewe ni mjinga na limbukeni, ngoja wanawake wa humu wakudangie ati kisa unaokoa mda, kwanini usiende kijijini kwenu?.
Anyway uamuzi ni wako lakini sisi wanaJF tutakuwa tunaperuzi JF kila siku tukiangalia mrejesho wa maendeleo ya ndoa yako.
Dear jf members kheri ya mwaka mpya 2024 ..........
Huu ni mwaka wa kihistoria katika maisha yangu ya hapa duniani ni mwaka ambao natarajia kufanya maamuzi magumu ya kufunga ndoa tukio ambalo nimeliwaza na kulisubiri kwa muda mrefu hayawi hayawi ..........

Huu ni mwaka wa 37 tangu nimezaliwa nimepambana kutafuta economic freedom nashukuru mungu kwamba nimefanikiwa Kwa asilimia nyingi.

Traditionally kwa umri wangu nimechelewa kuoa ila kwangu mimi bora nichelewe kuwa na familia ila niwe na economic freedom kwani familia sio basic needs mambo ya kuoa afu tunakuja kutafuta na mwakamke ilikuwa zamani mambo yamebadilika mwanamke atajazilishia palipopungua sipendi shida na umasikini kuliko Ukoma / HIV/ AIDS.

Hatua nilofikia sasa ninauwezo wa kusomesha watoto wangu any international learning institutions from kindergarten to university graduate without loan board wala kukopa kausha damu or any other loaning institutions na nikipata mke sitakuwa omba omba wa michango ya harusi kwa ndugu na marafiki badala yake nitawaalika kuja kushiriki (kula na kunywa) na kuondoka bila kuchangia chochote kwa sababu uwezo ninao.

Kwa kuwa mungu kaniwezesha kufikia malengo yangu kwa asilimia nyingi kama nilivyo muomba ni Imani yangu kuwa kupitia tangazo hili atanipa mke / mchumba na ndoa itafungwa na nitarudi hapa jukwaani kutoa mrejesho.

Tangazo hili la kutafuta mke naliweka hapa jukwaani kwa sababu
A. Kuokoa muda.
B. Waliopo hapa jukwaani ndo waliopo kwenye jamii.
C. Makutano. Jukwaa hili ni sawa na njia panda hukutanisha watu wa umri na jinsia mbali mbali.
D. Maamuzi. Hapa ni pa kukutania ila maamuzi ni ya mtu binafsi jukwaa hili halimfanyii mtu maamuzi hivyo dhana potofu kuhusu kutafuta mchumba mtandaoni haina nafasi kwangu..........

Ngugi wathiong'o kwenye kitabu chake cha " I will marry when I want " aliwahi kusema " two is better than one "
After long and tough process of achieving stated goals now am looking for spouse to form a bond to be two.

Wasifu wangu.
A. 37 years of age.
B. Public employees & commercial services.
C. University education background.
D. Christian.

Wasifu wa mke.
1. From 25 - 37 years of age.
2. Mwenye utayari wa kuolewa
3. Any education background.
4. Single mother simtaki.

Mawasiliano
A. Pm
B. Email: kamesaibrahim@gmail.com

Nb. Mwenye kuwiwa toroka uko ulipo uje tuyajenge huu ni mwaka wa kihistoria wa maisha yangu na yako.
 
Bado atasema "This time tomorrow" utakuwa kwenu
emoji23.png
emoji23.png


Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Hakika,this time tomorrow utakuwa kwenu and you will be singing the Song of Lawino and Ocol
 
Huyu Okot P'Bitek ni nomašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Tutaishia ku"Eat more fruits" humo ndani
🤣🤣🤣🤣🤣Hakika,this time tomorrow utakuwa kwenu and you will be singing the Song of Lawino and Ocol
 
Huyu Okot P'Bitek ni nomašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Tutaishia ku"Eat more fruits" humo ndani
🤣🤣🤣🤣Mwee!Mtarajiwa atupumzishe kwanza hatutaki diet sisi
 
Back
Top Bottom