Mchumba / mke huu ni mwaka wa kihistoria popote ulipo toroka uje

Kwa style ya kumquote Ngugi w Thiong'o,,nikichelewa kupika lazima utanisomea vifungu vya,"the beautiful ones are not yet born"nikichelewa kurudia utasikia "things fall apart" eeeeh balaa
🤣🤣
Sikuhizi kipengele Cha kuniita umekiacha ,?
 
Wewe mtu mzima ujue, ujana mwisho 35. Mtoto wako wa kwanza akiwa 20, wewe utakuwa na 60.
Tafuta single mom mwenye mtoa 10 yrs usomeshe uwahi kabla hujaanza kupungua nguvu.
 
Kwa style ya kumquote Ngugi w Thiong'o,,nikichelewa kupika lazima utanisomea vifungu vya,"the beautiful ones are not yet born"nikichelewa kurudia utasikia "things fall apart" eeeeh balaa
Usichelewe, the time is now😅
 
Mkuu kwaiyo unafikiri kwakuwa sasa una uwezo wa kusomesha wanao international schools to college graduates basi ndoa ndio itakuendea vizuri, kwamba utaimudu sasa?

Aise haya bhana.
 
Duh umeshangaa au umehamaki? Umeambiwa utoroke huko uliko kama hakueleweki.
Nimeshangaa
Hapana Niko single na huko siendi mi sio wa kusikilizia km nitapata mkuu🤣
Huu Uzi uko pm itakua balaa
 
Nimeshangaa
Hapana Niko single na huko siendi mi sio wa kusikilizia km nitapata mkuu🤣
Huu Uzi uko pm itakua balaa
Hivi unakuwaje single? Hauhisi kupungukiwa?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…