Mchumba / mke huu ni mwaka wa kihistoria popote ulipo toroka uje

Kwa style ya kumquote Ngugi w Thiong'o,,nikichelewa kupika lazima utanisomea vifungu vya,"the beautiful ones are not yet born"nikichelewa kurudia utasikia "things fall apart" eeeeh balaa
Na ukijamba atasema..... the river. Between...🙂....ukijifunguwa wa kiume...utasikia...mine boy..🙂..mkienda kwa wazazi...atatamka....new life in kyerefaso.🙂
 
Naomba nisindikize na nyimbo ya jaivah

“leo mtoto kaniona kati nmependeza”😂😂😂
 
Jamani kama unataka stress vamia hapa…. Huyu mtu atakaemuweza ni mwanamke wa kanda ya ziwa haswa mkulyaa yaani ni kasheshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…