Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono.

Kila ukimuangalia uliye nae, unawaza, "ntatokaje hapa?" maana hana ramani kabisa na vitu vya msingi kama baba wa baadae. Nimemuelekeza vitu vya msingi kwenye mahusiano, lakini naambulia ugomvi na ata kuambiwa tuachane. Baadaye, anajirudi tena, unadhani kapata somo, lakini bado yupo vilevile.

Sasa, kwakuwa sisi ndio husubiri kutongozwa, na kuna vitu tunavyovipima kwa anayetuongoza, tunabaki tupo kwenye uhusiano huku tukiwa na sonono. Uku mtaani, nimechoka. Sasa aje anayeweza hivi vigezo.

1/akubali kupima magonjwa hasa HIV na asiwe mume wa mtu au mwenye familia.
2/akubali kulea familia kuanzia tumboni kama tukijaaliwa.
3/akubali nifahamike kwao sio unanitambulisha kwa maworkmate/ mama au baba wa rafiki zako tu.
4/watoto wajulikane hadi kwao sio mama au baba ye ndo anafunga safari kuja kutuonea kwenye tunapoishi halafu anaondoka hapana.
5/asiwe na gubu au mgomvi yaan ye kitu kidogo tu kasusa hataki kuzichanga akili zake katika kutatua jambo kwenye famili kama kichwa cha nyumba.
6/sitaki wale wa My wangu, pw, ok, tnx bby au nambie na kuomba vocha au niongezee hela nimepelea sijui akishanunua hata hukioni wala hujulishwi, au nasikilizia mchongo subiri nikusanye afumbilimbili itimie hao SIWATAKI napo sema siwataki elewa hata mimi sina uzembe wa kuombaomba kizembe hivyo nataka tutakae endana nae anajua jukum lake kama mume na mimi nijue jukumu langu kama mke.
7/mkristu asiye na mambo ya BET. aliyemaliza ujana wa mambo mengi age 35+, ajitegemee sio wakuishi chumba kimoja mnashare watatu kodi, pia awe mkazi wa moro au awe na uwezo wa kuwa anakuja kila wikiend kuona familia.

NB: swala la yeye kuja kuiona familia badala ya mimi nika kae nae au ndio niende hayo ni maamuzi yake mwenyewe na hata ndoa hayo ni maamuzi yake maana katika ndoa mwenye maamuzi ni mwanaume hivo hiko kipengele sikilazimishi.

nawasilisha.
 
Upo moro maeneo gani tumalize hii shughuli june mrembo?
 
No. 6&7
 
Ikawe kheri kwako ndugu
 
🤣🤣🤣Kwahiyo unataka wakuangalia nae afcon kwanza.
Ewaaa! Tunachukua chumba pale hyatt tuncheki game zetu. Tunaenda zenji hotel verde na pia tutaenda nairobi pale two rivers tukacheki game pale kasarani kisirani.
Baada ya hapo narudi bongo kujiandaa na kifo changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…