Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono.

Kila ukimuangalia uliye nae, unawaza, "ntatokaje hapa?" maana hana ramani kabisa na vitu vya msingi kama baba wa baadae. Nimemuelekeza vitu vya msingi kwenye mahusiano, lakini naambulia ugomvi na ata kuambiwa tuachane. Baadaye, anajirudi tena, unadhani kapata somo, lakini bado yupo vilevile.

Sasa, kwakuwa sisi ndio husubiri kutongozwa, na kuna vitu tunavyovipima kwa anayetuongoza, tunabaki tupo kwenye uhusiano huku tukiwa na sonono. Uku mtaani, nimechoka. Sasa aje anayeweza hivi vigezo.

1/akubali kupima magonjwa hasa HIV na asiwe mume wa mtu au mwenye familia.
2/akubali kulea familia kuanzia tumboni kama tukijaaliwa.
3/akubali nifahamike kwao sio unanitambulisha kwa maworkmate/ mama au baba wa rafiki zako tu.
4/watoto wajulikane hadi kwao sio mama au baba ye ndo anafunga safari kuja kutuonea kwenye tunapoishi halafu anaondoka hapana.
5/asiwe na gubu au mgomvi yaan ye kitu kidogo tu kasusa hataki kuzichanga akili zake katika kutatua jambo kwenye famili kama kichwa cha nyumba.
6/sitaki wale wa My wangu, pw, ok, tnx bby au nambie na kuomba vocha au niongezee hela nimepelea sijui akishanunua hata hukioni wala hujulishwi, au nasikilizia mchongo subiri nikusanye afumbilimbili itimie hao SIWATAKI napo sema siwataki elewa hata mimi sina uzembe wa kuombaomba kizembe hivyo nataka tutakae endana nae anajua jukum lake kama mume na mimi nijue jukumu langu kama mke.
7/mkristu asiye na mambo ya BET. aliyemaliza ujana wa mambo mengi age 35+, ajitegemee sio wakuishi chumba kimoja mnashare watatu kodi, pia awe mkazi wa moro au awe na uwezo wa kuwa anakuja kila wikiend kuona familia.

NB: swala la yeye kuja kuiona familia badala ya mimi nika kae nae au ndio niende hayo ni maamuzi yake mwenyewe na hata ndoa hayo ni maamuzi yake maana katika ndoa mwenye maamuzi ni mwanaume hivo hiko kipengele sikilazimishi.

nawasilisha.
 
wanawake huwa tunatongozwa ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe bila hivyo vigezo inakuwa kazi sana na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae ila moyoni unamawazo unasonono kila ukimuangalia uliye nae unawaza ntatokaje hapa maana hana ramani kabisa na vitu vya msingi kama baba wa baadae nimemuelekeza vitu vya msingi kwenye mahusiano lakini naambulia ugomvi na ata kuambiwa tuachane baadae anajirudi tena unazani kapata somo ila bado yupo vilevile sasa kwakuwa sisi ndio husubiri kutongozwa na kuna vitu anaetongoza tunavipima tunabaki upo kwenye relation uku una sonono uku mtaani nimechoka,, sasa aje anaeweza hivi vigezo

Upo moro maeneo gani tumalize hii shughuli june mrembo?
 
No. 6&7
 
Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono.

Kila ukimuangalia uliye nae, unawaza, "ntatokaje hapa?" maana hana ramani kabisa na vitu vya msingi kama baba wa baadae. Nimemuelekeza vitu vya msingi kwenye mahusiano, lakini naambulia ugomvi na ata kuambiwa tuachane. Baadaye, anajirudi tena, unadhani kapata somo, lakini bado yupo vilevile.

Sasa, kwakuwa sisi ndio husubiri kutongozwa, na kuna vitu tunavyovipima kwa anayetuongoza, tunabaki tupo kwenye uhusiano huku tukiwa na sonono. Uku mtaani, nimechoka. Sasa aje anayeweza hivi vigezo.

1/akubali kupima magonjwa hasa HIV na asiwe mume wa mtu au mwenye familia.
2/akubali kulea familia kuanzia tumboni kama tukijaaliwa.
3/akubali nifahamike kwao sio unanitambulisha kwa maworkmate/ mama au baba wa rafiki zako tu.
4/watoto wajulikane hadi kwao sio mama au baba ye ndo anafunga safari kuja kutuonea kwenye tunapoishi halafu anaondoka hapana.
5/asiwe na gubu au mgomvi yaan ye kitu kidogo tu kasusa hataki kuzichanga akili zake katika kutatua jambo kwenye famili kama kichwa cha nyumba.
6/sitaki wale wa My wangu, pw, ok, tnx bby au nambie na kuomba vocha au niongezee hela nimepelea sijui akishanunua hata hukioni wala hujulishwi, au nasikilizia mchongo subiri nikusanye afumbilimbili itimie hao SIWATAKI napo sema siwataki elewa hata mimi sina uzembe wa kuombaomba kizembe hivyo nataka tutakae endana nae anajua jukum lake kama mume na mimi nijue jukumu langu kama mke.
7/mkristu asiye na mambo ya BET. aliyemaliza ujana wa mambo mengi age 35+, ajitegemee sio wakuishi chumba kimoja mnashare watatu kodi, pia awe mkazi wa moro au awe na uwezo wa kuwa anakuja kila wikiend kuona familia.

NB: swala la yeye kuja kuiona familia badala ya mimi nika kae nae au ndio niende hayo ni maamuzi yake mwenyewe na hata ndoa hayo ni maamuzi yake maana katika ndoa mwenye maamuzi ni mwanaume hivo hiko kipengele sikilazimishi.

nawasilisha.
Ikawe kheri kwako ndugu
 
Back
Top Bottom