Mchumba wa Flaviana Matata utata

Mchumba wa Flaviana Matata utata

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Namkubali bi dada so siri anapeperusha bendera yetu vyema kimataifa. Athante!

Haya wote tunajua amechumbiwa kwa sasa, Haya hongera binti. Utata ni nani aliyemchumbia? Why anafanya siri watanzania kutomjua mchumba wake? Na msiseme why nauliza, cause she is a Public Figure so it's not a regular person am asking here. Kwa anayemjua atupie picha hapa tumwone.
 
Winnie227

Huyu Binti aNanikosha sanA nikimuOnaga moYo unaPata ubAridi namKubalI sio siri. Hizi figa ziNakuwaga tamu sana. Aliyemchumbia kwa kweli anafaidi Si kiToto
 
Last edited by a moderator:
Mbona anamuwekaga mara kanisapoti mara blabla mbona yupo Matangazoni , wewe tu na Mitaa unayopita !
 
Amechumbiwa wapi wewe waKati kapigwa changa ili aweze kutanua mapaja vizuri tU,kama Kweli nani aliemwona????pia hivi flaviani hataki ujiko kweli na kuniambia amefanya private mno hadi mapicha yasionekane????hahahaha wengi huchumbiwa kwa maneno TU si kwamatemndo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Winnie227

Ukishamjua uje kuulizia na mzazi mwenza wa jenifer kyaka a.k.a Odama...
 
Last edited by a moderator:
waTZ bhana eti mukulu...nasikia ooh nasikia...

tehe tehe tehe....
 
Back
Top Bottom