JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kweli maisha yanaenda kasi mazee, yule manzi alikuwa ndiyo mkali kuliko manzi wote macelebrity wa bongo Jackie Cliff ambaye alikuwa ni mpenzi wa msanii Juma Jux ambaye alikutwa na kesi ya madawa ya kulevya na kutumikia kifungo cha miaka jela yuko uraiani sasa hivi bongo.
Katika pitapita nimekutana nae na usiku huu nikaona katupia picha insta ila kusema ukweli kachakaaa, na ile tittle ya pisi kali sizani kama bado inamfaa.
Nikiangalia kurasa wake picha mpya aliyo tupia leo na ile ya mwisho aliyotupia 2014 kabla hajaenda jela ndo utaona kumbe binadamu tunazeeka.