Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Huyu haachi upunda katoka jela kapokelewa na yule chawa wa kina papaa msoffe dunia customer ambaye sasa hivi ni punda.
Screenshot_2021-11-21-03-03-51-11_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
 
Kwanza utakuta mnyama Jux yupo studio kwa ajili ya Kichupa special cha Jack

Coz nyimbo zake zote huwa ni za matukio ya mademu zake

Na mistari itakua, mimi sina tatizo jackie kama unavoona nipo singo kama unatamani tuendelee nipo tu,
 
Kweli maisha yanaenda kasi mazee, yule manzi alikuwa ndiyo mkali kuliko manzi wote macelebrity wa bongo Jackie Cliff ambaye alikuwa ni mpenzi wa msanii Juma Jux ambaye alikutwa na kesi ya madawa ya kulevya na kutumikia kifungo cha miaka jela yuko uraiani sasa hivi bongo.

Katika pitapita nimekutana nae na usiku huu nikaona katupia picha insta ila kusema ukweli kachakaaa, na ile tittle ya pisi kali sizani kama bado inamfaa.

Nikiangalia kurasa wake picha mpya aliyo tupia leo na ile ya mwisho aliyotupia 2014 kabla hajaenda jela ndo utaona kumbe binadamu tunazeeka.
Yaan jitu lilikutwa na kesi ya mihadarati alafu hao mbulula wengine eti wana comment welcome back, tulikumis,
Hapo ilipaswa apigwe mi5 ya kibongo bongo wauza ngada wana haribu watoto na vijana wetu
 
Back
Top Bottom