Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

i hope atakuwa amebadilika na kuwa matured.

atulize akili, nyakati zimebadilika. insta ya 2014 sio insta ya 2021. aache fake lifestyle na showoff za kishamba kwenye mitandao ya kijamii.

kwa jinsi maisha ya sasa ya mitandao yalivyo, soon watu wa online media watamfata ili wamfanyie interview, wapate content za kupost kwenye page zao ili wa-generate views.

ata trend kama wiki hivi, baada ya hapo atapuuzwa na kusahaulika cos itaonekana content zinazotokana na jina lake ni useless,zimezoeleka, haziuziki.

jux atatunga mashairi ya fasta fasta, atarekodi wimbo kuonyesha ni namna gani alimmiss na namna gani amefurahi kumaliza kwake kifungo.

kinyimbo cha jux kita trend kama wiki hivi, baada ya hapo kitasahaulika, maisha yatasonga.
 
Wewe sawa na demu langu la zamani linasahau password kila likipata simu mpya linafungua account mpya ukilisachi fb lina ma account kibao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanasema eti bado yuko mwaaa, nawacheka[emoji23] uyo batch ya kina wolper[emoji23]. Wolper ukiliona sasa hiv na mipengo yake alafu kuna kina paula unachoka.
Kwa lugha ya sisi mashabiki wa mpira wa miguu, tunasema amekuwa juve aka kibibi cha tulin. [emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi pewa adhabu na serikali kwa kutuchafua kimataifa. Labda miaka michache tena hv. Mana hawa watu ndio wanaleta ugumu wa VISA ktk haya mataifa yetu.
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom