Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Kwanza utakuta mnyama Jux yupo studio kwa ajili ya Kichupa special cha Jack

Coz nyimbo zake zote huwa ni za matukio ya mademu zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af kweli yaan, kashapata kiki ya kutoa hit song, jux haach fursa kizembe.
 
Mabazazi wako hapo wanajua mashine ilivundikwa hiyo watamrukia sana tobo hilo.
Kwaiyo imekuwa sealed miaka 8? [emoji23] Mwamba atakayeizindua atafaudu kiaina. Ila siamini kule jela si kuna yale ma brashi ya chooni yenye mpini na fagio yenye mpini[emoji23][emoji23].
 
Af sjajua km alitoka yule jamaa, mmmh
Itakua alitoka ila Jacky bwana alikuaga slay queen haswaa...anavaa original sio fake,kuanzia kiatu mpk nywele plus pafyumu zake sasa daahh!!yaani amejua kutesa haswa na kama ngada alijua kuitendea haki bossbabes!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alijua kuwatesa slays wenzie, ila namuona bado yuko mcharo kuliko hata wema jaman lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alijua kuwatesa slays wenzie, ila namuona bado yuko mcharo kuliko hata wema jaman lol
Yaap!!she is cute!Jacky ana weupe wa asili,hawa wadada wa mjini mkorogo wa director kuzeeka mastii!
 
Kweli maisha yanaenda kasi mazee, yule manzi alikuwa ndiyo mkali kuliko manzi wote macelebrity wa bongo Jackie Cliff ambaye alikuwa ni mpenzi wa msanii Juma Jux ambaye alikutwa na kesi ya madawa ya kulevya na kutumikia kifungo cha miaka jela yuko uraiani sasa hivi bongo.
Kesha nyauka huyu......
hana maana tena......
siku hizi kuna pisi kali /grande zipo nyingi ndogo zimeshampiga gep......
angejongea kwenye mahubili kujutia....
 
Mweee! Masikini Jack Wachina wamemlisha ugali na maharagwe hadi tumbo kuwa kama furushi
 
Back
Top Bottom