Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Mchumba wa Jux, Jackie Cliff katoka jela China yuko bongo

Watu wanasema eti bado yuko mwaaa, nawacheka[emoji23] uyo batch ya kina wolper[emoji23]. Wolper ukiliona sasa hiv na mipengo yake alafu kuna kina paula unachoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KUKAA china miaka unadhani mchezo mpaka kaanza kufanana na wachina[emoji848]
 
Kwahiyo huyo ndio mchumba wa jux mpaka SASA au alikua?
 
Kumbe wewe ni Nazi Nazi leo ndo nimejua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nna furaha saana mommy, Jackie yupo uraian, afu cuzzoh/shostie/kidampa mwenzang Lil Nax (Montero baby) kachukua tuzo
Yaan leo niko full burudaaan, umejuaje sasa, weuweeeeeeeh.
 
Ndio maana nikamweka kundi moja na Wema maana ndo wazee wenzake..[emoji23][emoji23][emoji23]

Anaonekana veteran sababu ya jela aisee jiulize asingeenda angekuaje..
Ila Huyu manzi amepigana vita nyingi sana! Nakumbuka enzi hizo anasoma cbe, alikua anapush rav 4 nyekundu hivi wadau wakawa wanazusha kahongwa na Liyumba.
 
Awe raia mwema sasa vinginevyo saiv tunapiga shaba tu.
 
Back
Top Bottom