cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hakika kabisa yaaniHajachakaa kihivyo given alikuwa jela..ni pisi kuliko hata sepetu aliyekuwa kitaa miaka yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika kabisa yaaniHajachakaa kihivyo given alikuwa jela..ni pisi kuliko hata sepetu aliyekuwa kitaa miaka yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Return of the Jack soon utamuona ana drive gari kali,we ulikuwa mtaani miaka yote hata baisjkeli huna
Tena amekuja penye fursa sasa, ashindwe yeye tyuh. [emoji23][emoji23]maisha yanaenda kasi, anamkuta jux analia lia na mpenzi wa rotimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ataweza kukaa mbali na mtandao? alipokua jela alikua anawaza tyuuh insta. LolAngekaa mbali na mitandao hasa huko Insta, waja watamstress hadi atamani kurudi jela akapumzike,
Shauri zake.
Mbona anaonekana Veteran kabisa. Hawezi kutamba tena sasa hivi kuna akina Paula Kajala. Kila zama na kitabu chakeHajachakaa kihivyo given alikuwa jela..ni pisi kuliko hata sepetu aliyekuwa kitaa miaka yote
Atafute siti gari imejaaMbona anaonekana Veteran kabisa. Hawezi kutamba tena sasa hivi kuna akina Paula Kajala. Kila zama na kitabu chake
Sasa hivi atakufa akiendeleza kuuza poda zake,Shamim yuko jela maisha!huyu mweyewe ashukuru tu sheria ngumu enzi za JK hazikuwepo angekua jela mda b4 China!Return of the Jack soon utamuona ana drive gari kali, we ulikuwa mtaani miaka yote hata baisjkeli huna
Mpk tattoo alijichora ya Jux...hujui au ulikua hujaja mjini?!![emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sema kwani waliconfirm kama walikuwa wanadeti?
Ndio maana nikamweka kundi moja na Wema maana ndo wazee wenzake..[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona anaonekana Veteran kabisa. Hawezi kutamba tena sasa hivi kuna akina Paula Kajala. Kila zama na kitabu chake
Kuconfirm vipi tenaSema kwani waliconfirm kama walikuwa wanadeti?
Jack alikua anavaaga vest za juxKuconfirm vipi tenaView attachment 2012833