Mchumba wangu amefosi nimwambie ukweli na uongo kuhusu mimi, sasa ameninunia, nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Mteja: Madam Penny, nisaidie na hili

Mpenzi amefosi nimemwambie ukweli na uongo kuhusu mimi sasa ameninunia, nifanyaje?

Money penny: ukweli gan na uongo gan, sijaelewa

Mteja: amenifosi nimwambie ukweli kuhusu mimi na uongo kuhusu mimi katika maisha yangu ambavyo sijawahi kumweleza mtu, niligoma akafosi sana, akaniahidi ataninunulia gari, basi nikamwambia

Money penny: ukweli ulimwambia ni upi na uongo ni upi?

Mteja: nilimwambia hivi;
Ukweli juu ya maisha yangu: ni kwamba mimi ni bikra

Uongo juu ya maisha yangu ni kwamba mchungaji pale kanisani anatufundisha mafunzo ya ndoa ananitaka nikaonane nae gesti kesho

Nimemwambia hivyo sasa amenuna na haongei nami, simu hachukui wiki ya 2 kwake nimeenda simkuti sasa sielewi nafanyaje

Haya wana msaidieni mteja wangu amekosea wap?
 
Leta namba yako inbox tukushauri vizuri
 
Back
Top Bottom