Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

Tuendelee wadau
images (1).jpeg
 
Mwanzo Mzuri, Ukiingia kwenye ndoa utakuja kutusimulia Mengi.

VIJANA KATAENI NDOA, NDOA NI UTAPELI.

Hiv kwann hamsikiiii?

(Nimekomment nikiwa na uchungu huku nikijiandaa kumpokea mwanachama mpya)
 
kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao,


tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile wanamfahamu,

kwa kumwelezea kdgo huyu bidada ni mpole,mtu wa dini sana na anazungumzika vzr kwa watu vzr(mtu wa heshima)

sijawahi mhofia kuhusu suala zima la uhusiano ,amekuwa open sana kwangu kwa kipind kirefu ukizingatia na ukaribu tulio nao ,

sasa wiki iliyoisha bana nlikuw mitaa ya mbali kdg na mtaani kwetu ,kuna rafiki yangu alipata ajari so nikawa nmeeda kumuona,



asanteni
Mkuu pole sana I feel your pain.. mi demu nikiwa namuelewa wala sio demu wangu nikisikia analiwa nakosa hata usingizi Sasa najaribu kujiweka kwenye nafasi Yako demu wako ambaye una mipango naye kachapwa na wana angalau ingekuwa umesikia ila umeona na picha bro yatapita ila maumivu yake sio kitoto.
 
Ndoa sasa imekuwa ndoano,imeyeyuka yeyuuuu
 
kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao,


tu

asanteni
Vumilia tuu dogo,mambo haya magumu sana,umesema ni mcha Mungu,duuh hatari sana.
 
Back
Top Bottom