Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

Mwanzo Mzuri, Ukiingia kwenye ndoa utakuja kutusimulia Mengi.

VIJANA KATAENI NDOA, NDOA NI UTAPELI.

Hiv kwann hamsikiiii?

(Nimekomment nikiwa na uchungu huku nikijiandaa kumpokea mwanachama mpya)
 
Mkuu pole sana I feel your pain.. mi demu nikiwa namuelewa wala sio demu wangu nikisikia analiwa nakosa hata usingizi Sasa najaribu kujiweka kwenye nafasi Yako demu wako ambaye una mipango naye kachapwa na wana angalau ingekuwa umesikia ila umeona na picha bro yatapita ila maumivu yake sio kitoto.
 
Ndoa sasa imekuwa ndoano,imeyeyuka yeyuuuu
 
kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao,


tu

asanteni
Vumilia tuu dogo,mambo haya magumu sana,umesema ni mcha Mungu,duuh hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…