Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

Nimeamua kupiga chini japo naona kwa upande wake amegoma suala la kuchana ila msimamo wangu umebak ule ule siko pamoja na wadau wa kataa ndoa ila kwa sasa najipa muda kdg wa kutuliza akili.
Unaacha Mbunye kisa imepiga picha na Muhuni? Kwa hio umechagua kupiga NYETO? Wahi wale Maofisa warekebishaji wa migogoro ya Mapenzi Buku 5 tu unashusha mzigo wako unatembea wala hautumii gharama nyingi
 
ndugu zangu naendelea kujikaza ,kuna watu wamenishauri ninywe pombe huenda ntapunguza mawazo,

pilli huyu mwanamke nawaza nimblock maana simu kutoka kwake zimezid kuwa nying anaomba msamaha
Mimi ilintokea hii mwaka jana, ikabidi mwaka huu nioe. Mimi nilimfuma ktk simu yake, nikashawishiwa kumsamehe ili nimchek kama amebadilika, baadae nikamfuma na jamaa live.

Nachotaka kukwambia mkuu, huwezi kujua kwa huyo jamaa amependea nini, so kuachana na huyo jamaa ni kazi sana, na endapo akaachana nae, atatafuta mwingine mwenye sifa kama za huyo jamaa.

Usije matumaini kwamba mtu anaweza akabadilika ndani ya ndoa, hiko kitu hakipo mkuu. Tafuta mwanamke ambae unajua unammudu kwa kila kitu na hajioni kama yeye ni mrembo au ana kipato chake, angalia mwanamke ambae atakupe HESHIMA INAYOTOKA MOYONI. Mwanamke akikupenda na kukuheshimu hawezi kuwa muhuni kama huyo.
 
Kama hukumkuta na bikra yake na bado ukampenda hivyo hivyo, we oa tu.

Kila manzi anapigwa pipe huko nje na wanaume tunato*ba mali za watu.

Calm down buddy, ndoa ni zaidi ya kuchapiwa.
πŸ˜„
 
Jamba
Cc: Captain Fire
 
ndugu zangu naendelea kujikaza ,kuna watu wamenishauri ninywe pombe huenda ntapunguza mawazo,

pilli huyu mwanamke nawaza nimblock maana simu kutoka kwake zimezid kuwa nying anaomba msamaha
Huo ushauri wa pombe wamekudanganya sio suluhu

Pili kwa nature ya wanawake huyo mwanamke hajaanza kukusaliti hiyo siku bali muda mrefu ,na pengine kuna mengi huyajui kuhusu yeye.
 
Nobody is perfect. Msamehe manzi wako, endelea Na maisha. Wanawake wote na wanaume wote hatujakamilika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwani si baada ya kuchapiwa anarudi nayo? Pambana tuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona maumivu unayopitia due uliaminishwa kwa upole wake na watu wanavyomzungumzia na ukajaa mazima...sasa kujitoa hapo ndo kazi ilipo....huyo piga tu chini hakuna namna
 
Kutombewa siku hizi ni jambo la kawaida sana, wanawake nao wamekuja juu. Si mnakumbuka kuna mbunge alikuwa akiendaga Dodoma alikuwa anaenda na mchepuko wake huku mumewe akiwa huko Dar akilea watoto yeye anajirusha na mchepuko wake huko Dom. Ni kawaida sana siku hizi kula na kuliwa.
 
Nobody is perfect. Msamehe manzi wako, endelea Na maisha. Wanawake wote na wanaume wote hatujakamilika
Mtu acheat unasemehe nini utakuja kulea watoto sio wako utanuniwa bila sababu za msingi kumbe mtu kagombana na bwana ake.. Cheating is a decision kwa mwanamke.. Acha kuwa mrembo kwa mwanamke acha kuendekeza hisia wewe mwanaume mpumbavu.. Usaliti kwa mwanamke hamna kusamehe unielewi utajifunza mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…