Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Walaaaa sometimes ataingia mwezini bas naweza nisipewe siku 10 or 12 hapa nlipo nna wiki na siku sjanyandua ad naota ndoto nyevu maskini wa watu.
We ni boya mkuu samahani lakini, huyo demu mfanyie ubabe acha kumbembeleza
 
Dah! Istoshe nishawah kuwa na wanawake wa aina tofaut kwenye hili swala huwa hawatanii sometimes walikua wananianza wenyew nashangaa kwa huyu wala hana habar sometimes anaweza kuingia kweny sku zake bas zitafika siku 10 or 12 mech ujapewa
Khaa hizo siku anajumlisha na za mashosti zake ?
 
Kuna wanawake wanazingua mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ningekuwa mimi mwanaume namuacha Mapema sana
Usimuache, you might be a problem.
 
Huyo atakuwa hafurahii namna mnavofanya pengine wewe sio mtundu ktk hiyo mambo unakuwa unatumia nguvu hadi unamuumiza badala ya kuenjoy anajikuta hatamani tena tendo.....badili namna ya kumseduce mwenzio tumia Sanaa sio nguvu maana km ungekuwa mtundu ata usingekuwa unatumia neno kuomba! Ni sanaa yako tu toto linalegea ka mlenda
 
kuna mtu aliwaambia mkimbilie ndoa?? anyway kuna huu uzi pitiemo ujue matatzo ya kufuga ngombe wakat unaweza kupata maziwa sawa na bure[emoji41][emoji41]

Wanaume wenzangu, wake zenu wa ajira mpya wanaliwa huku makazini..!!
 
Acha akili z kipuuzi nani kakuambia sex ni sehemunya starehe yaani unazidiwa na Kuku, mbuzi na wanyama wengine wanao sex kupata watoto, kwahiyo wanasubiri muda muafaka wapige na kupata watoto.

Wee kazi kukaa unawaza K tu
Jinga sana
 
Usimiache, you might be a problem.
Kabisaaa mkuu, kuna watu mahaba hawajui, kuanzia kutomasa zero, akikupapasa utafikiri anakuna upele na mikucha basi inakuwa karaha tupu, akiingia uvinza utafikiri anachimba shimo la nguzo anavotumia nguvu badala ya kuenjoy mdada wa watu anaugulia maumivu weee kiufupi tendo linageuka adhabu kila akifikiria hatamani kabisa
 
Nna mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibaaaaaao ikiwa tiari nimemtolea mahari ushauri wenu nifanye nini nipo njia panda.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntafos weeee ntakuja kupewa mchanaaa na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata lisaa lizima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingiz hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Shukrani zenu.
😅😅
 
Ni kweli.
 
Nirudishe kwao ,shenzi amekuja kulala tuu hapo kwako huyo....
 
Back
Top Bottom