Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

Miaka 28, tayari ni bibi lkn anataka starehe badala ya kujenga maisha
 
Kweli we mjinga sana na inaonekana we sio mke kabisa unatamaa
 
Huyu Jamaa ni jembe
 
Hakufai, tafuta mwingine ambaye hatokuwa na mambo ya kijinga kijinga kama hayo ya kununua plot, kujenga nk. Tafuta mjanja atakayekuwa anakutoa out mara saba wa wiki na mtaalam wa kula bata!
 
Haafu unakuta unataka zawadi ziwa lenyewe Victoria limesambaa kushinda wasambaa.......uko Kwa Bibi ndio kabisa ng'onda ......mimaji kama yote .......tulia uolewe Acha gubu kama muuza chenji
 
Kweli mwanamke ni kiumbe wa ajabu ......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukishitkishwa vtu ...unalalamika ....usipo shirkishwa unalalamika
 
Eti anafanya kazi na ana complain mwanaume akimpa elfu 50 yeye anataka laki na kuendelea ha ha .
 
Naumia sana kwani mimi kama msichana nahitaji kudekezwa na kufanyiwa suprize za zawadi kama marafiki zangu ambao wanaweza kufanyiwa birthday na wapenzi wao, kutolewa out, kununuliwa nguo na zawadi.' - Hapo ndipo ujinga wako ulipolala,ujinga sio tusi.
 
Inalokota jiwe lenye dhamani kubwa unaenda kuliweka chini ya meza.Wenye kuijua thamani yake wanalichukua wewe baki hapo na mawazo finyu ya kufanyiwa sapraiz.
 
Sio mtu sahihi kwake amuache, mbona wapo wanaume kibao wanaofanya starehe awatafute hao kama ndio anachokitaka.
Huyo wa kufanya maendeleo hamfai
Huyo mwanamke punguani sana anakaaje na mwanaume siye na suprise anawaza maendeleo tuu...hata starehe hafanyi ??
 
Naomba namba zake nimwambie aache kukusumbua. Awe ananiambia mimi
 
Huyo mwanamke punguani sana anakaaje na mwanaume siye na suprise anawaza maendeleo tuu...hata starehe hafanyi ??
Ndo hapo sasa, em atafute fasta wa kumpa surprise na kumtoa out asijinyime raha za dunia.
Maendeleo bongo!
 
 
Hivi viumbe hata havijui vinataka nini. Na Hawa wanaume wa kushikiwa akili wanatia aibu sana, Na wanaume leeni Watoto wenu wa KIUME wenyewe, mnaona mazara yake sasa, huyu akiachwa sio ataenda kujinyonga?
 
Duuuh!! Huwa kuna vichekesho ila hiki ni zaidi ya kichekesho. Lol

Nadhani hapo kilichomchanganya zaidi ni hiyo ya kutumia mshahara pamoja japo mwambie huo ni uamuzi tu kwa maendeleo yao yaani ili waweze kupiga hatua kwa haraka na huwa sio lazima pia, hivyo ni kiasi cha kukaa chini na huyo mwenza wake na kuamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…