Ramo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,818
- 1,824
Nakazia hapo..Duh naanza kuamin ule msemo atakae muelewa mwanamke anataka nin lazima anakaribia kufa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapo..Duh naanza kuamin ule msemo atakae muelewa mwanamke anataka nin lazima anakaribia kufa..
Miaka 28 ni mbibi mzeeMiaka 28????
Tulia na usimuulize kitu chochote wewe ni mke wake mtarajiwa. Anafanya kazi kwa ajili yako mvumilie.Nasema uongo ndugu Zangu
Ww pia unamshangaa mwanamke mwenzakoHuyo binti anashida sehemu mtu anakushirikisha vitu vya maendeleo hupendi[emoji849][emoji849][emoji849]!!!!!!
Kuna viumbe sijui ua vinataka nn ili kuridhika....... AJABUUUU!
True [emoji1534]Huyo sio mtu sahihi kwake! Ampige chini akatafute mwanaume anayejua kuspend, kumbebisha! Kumtoa out na kila aina ya starehe
Nasema hivyo kwasababu ndege wanaofanana huruka pamoja! Huyu jamaa akili zake ni za maendeleo wakati huyu dada yeye anataka starehe, outing, kuletewa zawadi! Kupewa hela wakati ana mshahara! Bora amuache huyo bro naamini atapata mtu wa type yake!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwamba fundi sana kamtengenezea mazingira huyu dada ambayo hata akiomba hela anahisi anafanta dhambi.. sema kama jamaa ana malengo nae kweli fresh but kama anamtumia dada wa watu kwa raha zake kesho shida zikiisha ambwage alaaniwe sana..Huyo mwanaume ni mjanja, anamfanya mdada wa watu daraja lake.
Shame on him.
Formula kuu ya KE niHuyo rafiki yako ni bomu linalosubiri liingizwe kwenye ndoa likalipukie huko!
Sasa Kama ana kazi si atumie pesa zake kwa matumizi yake kwani lazima atumie hzo za jamaa zinazofanya Mambo ya kudumu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mshkaji anadate na kunguru hajajua tu
Huyu mwanaume anamfanya mdada wa watu ni daraja lake, regardless huyu mdada ana kazi yake na pesa pia, hivyo anafanya makusudi ili kuziba mianya ya mwanamke kuomba hela, kwan anajua bado hataumia coz anazo zake hivyo hakutakua na problems.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwamba fundi sana kamtengenezea mazingira huyu dada ambayo hata akiomba hela anahisi anafanta dhambi.. sema kama jamaa ana malengo nae kweli fresh but kama anamtumia dada wa watu kwa raha zake kesho shida zikiisha ambwage alaaniwe sana..