Mchumba wangu ananishirikisha katika kila kitu cha maendeleo anachofanya

Huyo binti anashida sehemu mtu anakushirikisha vitu vya maendeleo hupendi[emoji849][emoji849][emoji849]!!!!!!

Kuna viumbe sijui ua vinataka nn ili kuridhika....... AJABUUUU!
Ww pia unamshangaa mwanamke mwenzako
 
Bado kama haupo tayari kwa ndoa. Japo mwanaume anaprovide lakini sio vibaya na ww kuchangia especially kwa vitu vya maendeleo
 
True [emoji1534]
 
Mwanamke miaka 28 na anaakiri za kimaandazi [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Huyo mwanaume ni mjanja, anamfanya mdada wa watu daraja lake.
Shame on him.
 
Siku akiachwa ataelewa,sidhan kama anahitaji ushauri yeye,mwanamke ndo anahitaji ushauri na maombi
Mkipendwa hampendeki ,ukweli hamuutaki
Kaombewe
Kakanyage mafuta ya upako.
Angekua karibu bakora mbili alafu anaenda maombi
 
Huyo mwanaume ni mjanja, anamfanya mdada wa watu daraja lake.
Shame on him.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwamba fundi sana kamtengenezea mazingira huyu dada ambayo hata akiomba hela anahisi anafanta dhambi.. sema kama jamaa ana malengo nae kweli fresh but kama anamtumia dada wa watu kwa raha zake kesho shida zikiisha ambwage alaaniwe sana..
 
Huyo rafiki yako ni bomu linalosubiri liingizwe kwenye ndoa likalipukie huko!

Sasa Kama ana kazi si atumie pesa zake kwa matumizi yake kwani lazima atumie hzo za jamaa zinazofanya Mambo ya kudumu...
Formula kuu ya KE ni
Changu ni Changu,
Chako chetu sote!
 
Kenge kama hizi ndio muhuni u slide na kukacha! Pisi mbovu kiakili hadi kinyaa😂
 
Nawasiwasi huyo demu wa jamaa sio aliepigwa chini na Msizwa wa Msizwa 😂
 
Huyu mwanaume anamfanya mdada wa watu ni daraja lake, regardless huyu mdada ana kazi yake na pesa pia, hivyo anafanya makusudi ili kuziba mianya ya mwanamke kuomba hela, kwan anajua bado hataumia coz anazo zake hivyo hakutakua na problems.

Huyu mwanaume ni baharia wa kiwango cha uchumi wa juu, na apewe uraisi tyuuh wa taasisi ya u baharia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndugu yangu achana na starehe huyo mchumba ako ndo sahihi kwani anakushilikisha mambo yamaendeleo usimwache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…