Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar.

Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa.

Akienda washroom kujisaidia haja kubwa anatoa harufu kali sana. Yaani chumba mpaka nyumba nzima haitamaniki kabisa. Harufu ambayo haifanani kabisa na yeye. Ni msichana mzuri ana shape nzuri lakini hiyo kitu sielewi hata. Week za mwanzoni nlidhani labda ni vyakula alivyokuwa anakula Dodoma.

Nikahakikisha anakula matunda,mboga za majani n.k but haikufua dafu. Akijamba ( na anapenda sana kufanya hivi anajisikia rahaaa) huwezi kukaa hapo.

Akijisaidia halafu ukafungiwa ndani unaweza kufa. Na ndo wasiwasi wangu kuwa nisije nikafa kwa ile hewa ya ukaa ambayo anatoa. Nlimwambia kama ana tatizo twende hosp alicheka na kusema hamna shida yoyote ni kawaida tu.

Nimemnunulia dawa za minyoo, nimemnunulia dawa za kusafisha tumbo. Yaani nimefikia hatua sielewi. Naona nitakufa tu mimi. Harufu ya choo chake ni kali sana. Hali yangu imeanza kudhoofu. Maana nakosa raha kabisa. Sijui amerogwa? Najiuliza au kuna vitu anakula kwa siri?

Mimi maishani mwangu sipendi nimpe mtu kero wala anipe kero.yaani kwa huyu mchumba tutashindwana kabisa. Hapo bado usiku hajaanza kukoroma....anakoroma masaa yote. Nawaza namna ya kumsaidia sababu nampenda. Sijapata majibu. Naombeni msaada maana nitashindwa mimi. Nitashindwa kabisa.

Nimekuwa sina amani, sina raha mchana wala usiku. Yaani huwa naenjoy tu wakati wa sex maana ni mtamu ana joto balaa na utelezi unakuwepo. Hapo ndo mashallah naenjoy ila baada ya hapo... Sijui nifanyeje.
Muhuni tu wewe
 
Mkuu wewe bado ni mtoto sana, ukikua utazoea tuu..sasa kama tuu kinyesi unadhohofika , ukija kumpa mimba akawa anafikia kutapika si utamuua kabisa mkuu....maana kuna wanawake wakiwa na mimba wanatapika sio kawaida hadi anaishiwa nguvu mpaka unamuonea huruma...

Au akija kuugua sana ( siombei) ikabidi msaada si utashindwa mvisha hata pedi mkuu...na kumsitiri damu yake kama ku mwosha / mwogesha / kumsafisha akijisaidia...?
 
Mnunulie ama otesha mapapai mengi awe anakula kila siku. Pia anywe maji mengi.

Then kama wamwamini Mungu mtangulize yeye kwa Kumaanisha na kwa kuzingatia Kanuni Muhimu.
 
Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar.

Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa.

Akienda washroom kujisaidia haja kubwa anatoa harufu kali sana. Yaani chumba mpaka nyumba nzima haitamaniki kabisa. Harufu ambayo haifanani kabisa na yeye. Ni msichana mzuri ana shape nzuri lakini hiyo kitu sielewi hata. Week za mwanzoni nlidhani labda ni vyakula alivyokuwa anakula Dodoma.

Nikahakikisha anakula matunda,mboga za majani n.k but haikufua dafu. Akijamba ( na anapenda sana kufanya hivi anajisikia rahaaa) huwezi kukaa hapo.

Akijisaidia halafu ukafungiwa ndani unaweza kufa. Na ndo wasiwasi wangu kuwa nisije nikafa kwa ile hewa ya ukaa ambayo anatoa. Nlimwambia kama ana tatizo twende hosp alicheka na kusema hamna shida yoyote ni kawaida tu.

Nimemnunulia dawa za minyoo, nimemnunulia dawa za kusafisha tumbo. Yaani nimefikia hatua sielewi. Naona nitakufa tu mimi. Harufu ya choo chake ni kali sana. Hali yangu imeanza kudhoofu. Maana nakosa raha kabisa. Sijui amerogwa? Najiuliza au kuna vitu anakula kwa siri?

Mimi maishani mwangu sipendi nimpe mtu kero wala anipe kero.yaani kwa huyu mchumba tutashindwana kabisa. Hapo bado usiku hajaanza kukoroma....anakoroma masaa yote. Nawaza namna ya kumsaidia sababu nampenda. Sijapata majibu. Naombeni msaada maana nitashindwa mimi. Nitashindwa kabisa.

Nimekuwa sina amani, sina raha mchana wala usiku. Yaani huwa naenjoy tu wakati wa sex maana ni mtamu ana joto balaa na utelezi unakuwepo. Hapo ndo mashallah naenjoy ila baada ya hapo... Sijui nifanyeje.
Sasa Blaza Hebu fanya nipe namba ya huyo mchumba wako..sisi wengine tunaweza kuuvumilia hiyo harufu ya ushuzi.. tuma namba fasta
 
Hata mimi kati ya vitu ambavyo sipendi ni harufu mbaya. Hata harufu ya ushuzi wangu tu inanikera ya mtu mwingine ndio nahisi ku suffocate kabisa.

Nikirudi kwako mtoa mada, poop kunuka ni lazima ile ni taka mwili. Hata ya kwako inanuka hivo hivo sema unaweza kuivumilia sababu ni yako.

Akiwa anajisaidia toka huko chumbani kabisa na ajifungie mlango. Akimaliza na akaflash na akanawa na sabuni harufu inaondoka. Au weka choo cha kukaa huwa naona hakitoi harufu mtu akiwa ana poop.
 
Hata ww unaweza kuwa unatoa harufu kali sana lakn umeizoea ww kwa mwenzio ni kero.
 
Mkuu wewe bado ni mtoto sana, ukikua utazoea tuu..sasa kama tuu kinyesi unadhohofika , ukija kumpa mimba akawa anafikia kutapika si utamuua kabisa mkuu....maana kuna wanawake wakiwa na mimba wanatapika sio kawaida hadi anaishiwa nguvu mpaka unamuonea huruma...

Au akija kuugua sana ( siombei) ikabidi msaada si utashindwa mvisha hata pedi mkuu...na kumsitiri damu yake kama ku mwosha / mwogesha / kumsafisha akijisaidia...?
Nashukuru angalau wewe umeniona ni mtoto wengi huwa kwa huu umri na uzoefu wangu wanapenda kuni treat kama mzee sana. Lakini binafsi napenda kuwa kama mtoto ili nisikose mademu damu changa.
 
Back
Top Bottom