Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar.

Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa.

Akienda washroom kujisaidia haja kubwa anatoa harufu kali sana. Yaani chumba mpaka nyumba nzima haitamaniki kabisa. Harufu ambayo haifanani kabisa na yeye. Ni msichana mzuri ana shape nzuri lakini hiyo kitu sielewi hata. Week za mwanzoni nlidhani labda ni vyakula alivyokuwa anakula Dodoma.

Nikahakikisha anakula matunda,mboga za majani n.k but haikufua dafu. Akijamba ( na anapenda sana kufanya hivi anajisikia rahaaa) huwezi kukaa hapo.

Akijisaidia halafu ukafungiwa ndani unaweza kufa. Na ndo wasiwasi wangu kuwa nisije nikafa kwa ile hewa ya ukaa ambayo anatoa. Nlimwambia kama ana tatizo twende hosp alicheka na kusema hamna shida yoyote ni kawaida tu.

Nimemnunulia dawa za minyoo, nimemnunulia dawa za kusafisha tumbo. Yaani nimefikia hatua sielewi. Naona nitakufa tu mimi. Harufu ya choo chake ni kali sana. Hali yangu imeanza kudhoofu. Maana nakosa raha kabisa. Sijui amerogwa? Najiuliza au kuna vitu anakula kwa siri?

Mimi maishani mwangu sipendi nimpe mtu kero wala anipe kero.yaani kwa huyu mchumba tutashindwana kabisa. Hapo bado usiku hajaanza kukoroma....anakoroma masaa yote. Nawaza namna ya kumsaidia sababu nampenda. Sijapata majibu. Naombeni msaada maana nitashindwa mimi. Nitashindwa kabisa.

Nimekuwa sina amani, sina raha mchana wala usiku. Yaani huwa naenjoy tu wakati wa sex maana ni mtamu ana joto balaa na utelezi unakuwepo. Hapo ndo mashallah naenjoy ila baada ya hapo... Sijui nifanyeje.
Sikumbuki nilikuwa nabishana nini na Mjomba wangu ila nakumbuka nilikuwa najisifu kuwa nina akili kipindi bado mdogo.
Siku hiyo akaniambia Mwanaume akili zake hupimwa na Mwanamke. Akasema kama ukitaka kujua kipimo sahihi cha akili yako OA.

[emoji28] ALIKUWA SAHIHI..
 
Mbona unaacha mke sababu ya vitu vidogo sana!?? Kuna wanawake wanakunya keki zinanukia na unaweza uza hata ila sasa ni punda za kijiji na mtaa ukimpa karoti tu unampanda, oa sababu ya tabia hayo mengine ni changamoto ndogondogo sana....

Nunua air fresh kila akitoka chooni una neutralise mazingira....

Jaribu kupima vidonda vya tumbo, vikikomaa na kua stage ya mbele hua na tabia hiyo atajamba sana sababu gas inajaa mara kwa mara na akijisaidia harufu inakua kali, tafuta tiba tibia mke wako bn!
Mkuu hichi kitu cha vidonda vya tumbo kama nimeshakiona kwa madem wawili wananuka sana midomo nafikiri pia yaweza kuwa sababu
 
Achana naye, mlete kwangu mimi harufu mbaya ya mavi haiwezi kuniua, ntaivumilia.
 
Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar.

Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa.

Akienda washroom kujisaidia haja kubwa anatoa harufu kali sana. Yaani chumba mpaka nyumba nzima haitamaniki kabisa. Harufu ambayo haifanani kabisa na yeye. Ni msichana mzuri ana shape nzuri lakini hiyo kitu sielewi hata. Week za mwanzoni nlidhani labda ni vyakula alivyokuwa anakula Dodoma.

Nikahakikisha anakula matunda,mboga za majani n.k but haikufua dafu. Akijamba ( na anapenda sana kufanya hivi anajisikia rahaaa) huwezi kukaa hapo.

Akijisaidia halafu ukafungiwa ndani unaweza kufa. Na ndo wasiwasi wangu kuwa nisije nikafa kwa ile hewa ya ukaa ambayo anatoa. Nlimwambia kama ana tatizo twende hosp alicheka na kusema hamna shida yoyote ni kawaida tu.

Nimemnunulia dawa za minyoo, nimemnunulia dawa za kusafisha tumbo. Yaani nimefikia hatua sielewi. Naona nitakufa tu mimi. Harufu ya choo chake ni kali sana. Hali yangu imeanza kudhoofu. Maana nakosa raha kabisa. Sijui amerogwa? Najiuliza au kuna vitu anakula kwa siri?

Mimi maishani mwangu sipendi nimpe mtu kero wala anipe kero.yaani kwa huyu mchumba tutashindwana kabisa. Hapo bado usiku hajaanza kukoroma....anakoroma masaa yote. Nawaza namna ya kumsaidia sababu nampenda. Sijapata majibu. Naombeni msaada maana nitashindwa mimi. Nitashindwa kabisa.

Nimekuwa sina amani, sina raha mchana wala usiku. Yaani huwa naenjoy tu wakati wa sex maana ni mtamu ana joto balaa na utelezi unakuwepo. Hapo ndo mashallah naenjoy ila baada ya hapo... Sijui nifanyeje.
🤣🤣🤣🤣Sina neno
 
Serious hili tatizo hua linatokana na nini? Kuna watoto wawili wa mshikaji wangu wanajisaidia haja kubwa ina harufu kali sana. Yaani mtoto akiwa chooni na mko siting room inabidi mfungue madirisha na milango yote otherwise hali inakuwa mbaya sana. Ni tatizo la kiafya au ni kawaida?
 
Mshukuru Mungu amekukwepesha na NDOA... Ndoa ni upumbav, achana na mawazo ya ndoa kwa mwanamke yoyote yule... Hata ukimuoa mwanamke mwingine ndoa sikuhiz ni zaidi ya hicho kinyesi na kijambo cha huyo mwanamke... Nasema hiviiii ishi maisha yako, mzalishe ila kilamtu aishi kwake... KATAA NDOA UISHI KWA AMANI NA BARAKA
Sasa nisipomwoa huyu manzi nitakuoa wewe? Nyie wanawake hampendani sijui kwa nini.
 
Pisi Kali ndivyo zilivyo.
Mjengee choo cha nje mkuu.
 
Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar.

Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa.

Akienda washroom kujisaidia haja kubwa anatoa harufu kali sana. Yaani chumba mpaka nyumba nzima haitamaniki kabisa. Harufu ambayo haifanani kabisa na yeye. Ni msichana mzuri ana shape nzuri lakini hiyo kitu sielewi hata. Week za mwanzoni nlidhani labda ni vyakula alivyokuwa anakula Dodoma.

Nikahakikisha anakula matunda,mboga za majani n.k but haikufua dafu. Akijamba ( na anapenda sana kufanya hivi anajisikia rahaaa) huwezi kukaa hapo.

Akijisaidia halafu ukafungiwa ndani unaweza kufa. Na ndo wasiwasi wangu kuwa nisije nikafa kwa ile hewa ya ukaa ambayo anatoa. Nlimwambia kama ana tatizo twende hosp alicheka na kusema hamna shida yoyote ni kawaida tu.

Nimemnunulia dawa za minyoo, nimemnunulia dawa za kusafisha tumbo. Yaani nimefikia hatua sielewi. Naona nitakufa tu mimi. Harufu ya choo chake ni kali sana. Hali yangu imeanza kudhoofu. Maana nakosa raha kabisa. Sijui amerogwa? Najiuliza au kuna vitu anakula kwa siri?

Mimi maishani mwangu sipendi nimpe mtu kero wala anipe kero.yaani kwa huyu mchumba tutashindwana kabisa. Hapo bado usiku hajaanza kukoroma....anakoroma masaa yote. Nawaza namna ya kumsaidia sababu nampenda. Sijapata majibu. Naombeni msaada maana nitashindwa mimi. Nitashindwa kabisa.

Nimekuwa sina amani, sina raha mchana wala usiku. Yaani huwa naenjoy tu wakati wa sex maana ni mtamu ana joto balaa na utelezi unakuwepo. Hapo ndo mashallah naenjoy ila baada ya hapo... Sijui nifanyeje.
Braza toka lini gogo likanukia? Nunua air freshner akikata gogo anapulizia
 
Sijaona vyote duniani kweli naamini sasa
 
Hahahah ushasema unainjoi sex kwakua anautelezi,vumilia Mungu hakupi vyote😅😅msichana mrembooo ila akiny.a ama kuj.amba Kama katoa mzoga tumboni 😅😅😅
 
Mtumie hii kwa niaba yangu..
WOMEN'S%20DAY%20AFYA.jpg
 
Hahahaha hiyo ndio faida ya kujenga vyoo ndani ya nyumba (wenyewe twaita Master bedroom), ungejenga choo nje ya nyumba walaaa hii kero isingekukuta, pole bro!
 
Back
Top Bottom