Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

Muhuni tu wewe
 
Mkuu wewe bado ni mtoto sana, ukikua utazoea tuu..sasa kama tuu kinyesi unadhohofika , ukija kumpa mimba akawa anafikia kutapika si utamuua kabisa mkuu....maana kuna wanawake wakiwa na mimba wanatapika sio kawaida hadi anaishiwa nguvu mpaka unamuonea huruma...

Au akija kuugua sana ( siombei) ikabidi msaada si utashindwa mvisha hata pedi mkuu...na kumsitiri damu yake kama ku mwosha / mwogesha / kumsafisha akijisaidia...?
 
Mnunulie ama otesha mapapai mengi awe anakula kila siku. Pia anywe maji mengi.

Then kama wamwamini Mungu mtangulize yeye kwa Kumaanisha na kwa kuzingatia Kanuni Muhimu.
 
Sasa Blaza Hebu fanya nipe namba ya huyo mchumba wako..sisi wengine tunaweza kuuvumilia hiyo harufu ya ushuzi.. tuma namba fasta
 
Hata mimi kati ya vitu ambavyo sipendi ni harufu mbaya. Hata harufu ya ushuzi wangu tu inanikera ya mtu mwingine ndio nahisi ku suffocate kabisa.

Nikirudi kwako mtoa mada, poop kunuka ni lazima ile ni taka mwili. Hata ya kwako inanuka hivo hivo sema unaweza kuivumilia sababu ni yako.

Akiwa anajisaidia toka huko chumbani kabisa na ajifungie mlango. Akimaliza na akaflash na akanawa na sabuni harufu inaondoka. Au weka choo cha kukaa huwa naona hakitoi harufu mtu akiwa ana poop.
 
Hata ww unaweza kuwa unatoa harufu kali sana lakn umeizoea ww kwa mwenzio ni kero.
 
Nashukuru angalau wewe umeniona ni mtoto wengi huwa kwa huu umri na uzoefu wangu wanapenda kuni treat kama mzee sana. Lakini binafsi napenda kuwa kama mtoto ili nisikose mademu damu changa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…