Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

Mnakula vyakula vyenye protini nyingi sana kama mayai,mtindi na nyama nyama ama samaki,jambo la msingi mweleze ukweli kuwa anakukera,jambo jingine ni kuwa anapojamba Huwa hatoi hewa ya ukaa.Tiba yake ni nyepesi Sana njoo inbox kama unampenda mpenzi wako na hupendi kero
 
Ndio matatizo ya kutumia choo cha ndani.
 
Mm sijui nipo tofauti ngoja ninyamaze [emoji2]
 
Kwani ukielezea hapa hapa kuna shida gani?!
 
Mkuu nisaidie no,yake ili nimsaidie tatizo lake,nitumie sasa hivi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ninayo dawa ya mafuta ,analamba kidogo ataharisha wastani na kujamba mfulilizo ,inasafisha tumbo then atakuwa kawaida kama tutaelewana nikutumie,hata kama tumbo linajaa gesi kiasi Gani itakwisha na hata kama anatatizo kama ulilosema inakwisha pia
 
Nitumie inbox please.
 
Awe anameza punje Moja ya kitunguu swahumu asubuhi kabla hajala chochote.

Hii itakata harufu yoyote mbaya na kumsaidia kuimarisha Kinga ya mwili.

Lakini pia hii ni kiua sumu na hutubu matatizo yoyote ya fangasi, bacteria katika njia ya haja kubwa.

Aache kula kitimoto kwa muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…