Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

Sikumbuki nilikuwa nabishana nini na Mjomba wangu ila nakumbuka nilikuwa najisifu kuwa nina akili kipindi bado mdogo.
Siku hiyo akaniambia Mwanaume akili zake hupimwa na Mwanamke. Akasema kama ukitaka kujua kipimo sahihi cha akili yako OA.

[emoji28] ALIKUWA SAHIHI..
 
Mkuu hichi kitu cha vidonda vya tumbo kama nimeshakiona kwa madem wawili wananuka sana midomo nafikiri pia yaweza kuwa sababu
 
Achana naye, mlete kwangu mimi harufu mbaya ya mavi haiwezi kuniua, ntaivumilia.
 
🤣🤣🤣🤣Sina neno
 
Serious hili tatizo hua linatokana na nini? Kuna watoto wawili wa mshikaji wangu wanajisaidia haja kubwa ina harufu kali sana. Yaani mtoto akiwa chooni na mko siting room inabidi mfungue madirisha na milango yote otherwise hali inakuwa mbaya sana. Ni tatizo la kiafya au ni kawaida?
 
Sasa nisipomwoa huyu manzi nitakuoa wewe? Nyie wanawake hampendani sijui kwa nini.
 
Pisi Kali ndivyo zilivyo.
Mjengee choo cha nje mkuu.
 
Braza toka lini gogo likanukia? Nunua air freshner akikata gogo anapulizia
 
Sijaona vyote duniani kweli naamini sasa
 
Hahahah ushasema unainjoi sex kwakua anautelezi,vumilia Mungu hakupi vyote😅😅msichana mrembooo ila akiny.a ama kuj.amba Kama katoa mzoga tumboni 😅😅😅
 
Mtumie hii kwa niaba yangu..
 
Hahahaha hiyo ndio faida ya kujenga vyoo ndani ya nyumba (wenyewe twaita Master bedroom), ungejenga choo nje ya nyumba walaaa hii kero isingekukuta, pole bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…