Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sjui hata nacheka nini
 
Issue hiyo Ni rahisi Sana hakikisha kwa siku anakunywa maji litre 3+ ,,,then utanipa mrejesho Pm....NIAMINI MKUU
 
Atakuwa na tatizo la vidonda vya tumbo halafu kingine ulaji wake ni mbaya aache kula na kunywa vyakula vyenye gesi nyingi anavyoamka asubuhi kabla ya kula asubuhi mpe embe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…