min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo ya kuzaba vibao nitaitumia nikifungua kanisa langu , nimeipenda sana.Mungu hayupo ndo maana watu wanachezea tu dini inakua for show, for business
Mnaoteseka ni nyie mnaoamini hizo hadithi za eti kuna mungu
Nimekumbuka TB Joshua alivokua anazaba watu vibao[emoji1787]