Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

Kuna waislam na wakristo humu nao watajifanya kucheka na kushangaa wakati vioja vyao nao huko waliko ni vya kuchekesha mtu anasafiri hadi asia kubusu jiwe na kumpiga shetani mawe
Kwa hio tusicheke hivi vituko bya karne ?
Kubusu jiwe kubusu msalaba na kipiga magoti kumuomba bikra malia ni vituko vya zamani vinafahamik. Hivi ni vipya lazima tucheke ila inabidi hawa mitume nao waandike vitabu vyao.
 
Wachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali.

ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.

View attachment 2868690
HUYO PEPO aliwezaje KUPITA kote KUANZIA GETINI HADI NDANI YA NYUMBA YA IBADA? PEPO anawezaje KUINGIA KWENYE NYUMBA YA IBADA ILIYO na upako YA JINA LA YESU.?
 
Mungu hayupo ndo maana watu wanachezea tu dini inakua for show, for business

Mnaoteseka ni nyie mnaoamini hizo hadithi za eti kuna mungu

Nimekumbuka TB Joshua alivokua anazaba watu vibao[emoji1787]
Uwepo wa Mungu sio lazima watu wote wawe watakatifu,ndo maana kila mtu ana akili zake.Yanayotokea ni matokeo ya uhuru wa kufikiri ambao Mungu aliwawekea viumbe hai.Ndo maana wakati hao wanafanya hivyo kuna ambao wanawaza jinsi gani yakuvumbua vifaa tiba na mambo mengine yakutumia akili kwa manufaa.
 
Back
Top Bottom