Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

Ukishajijenga kwenye misingi ya imani huna haki ya kumhukumu mwamba.
Yaelekea umenikariri mkuu😃

Labda tu nikuambie kuwa IMANI, yaani , IMANI HALISI, SI UJINGA WALA UPUMBAVU! Ni facts, spiritual facts.

Kilichofanywa na "hao" ni kinyume na Biblical Faith!
 
Wanakoelekea hawa vichaa watapigwa kifimbo cha nyama kwenye ndukum zao.
 
Yaelekea umenikariri mkuu😃

Labda tu nikuambie kuwa IMANI, yaani , IMANI HALISI, SI UJINGA WALA UPUMBAVU! Ni facts, spiritual facts.

Kilichofanywa na "hao" ni kinyume na Biblical Faith!
Kukariri kutunza kumbukumbu sio vibaya.

Wakisema walipata mwongozo wa kipekee kutoka kwa roho Mtakatifu utawahukumu vip ?
 
Yaelekea umenikariri mkuu😃

Labda tu nikuambie kuwa IMANI, yaani , IMANI HALISI, SI UJINGA WALA UPUMBAVU! Ni facts, spiritual facts.

Kilichofanywa na "hao" ni kinyume na Biblical Faith!
Una maana gani kusema spiritual facts?
 
Camera man bado yupo stable sana hata achezi
 
Sijui nisemaje apo.. ila Tuombe Mungu atupe ufahamu wakujitambua.. Kuna Mchungaji mmoja alisema dini ya kweli ni wewe mwenyewe.
 
Kuna uzi Mwembamba sana kati ya ulokole na ukichaa.
Unaijua ulolokole. Nitajie makanisa matano tu ya kwanza ya kilolokole kuanza Tanzania mwaka 1920. Tusipende kugeneralize mambo kwa ujinga wa matapeli wachache.
 
Mtu akisha kua mlokole lazima zimruke
 
Back
Top Bottom