dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
huyu dada wa 0:21 angedondoka bila kutanguliza mkono wa kulia kwanza na kufikia kichwa, ningeaminiWachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali.
ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
View attachment 2868690
Yaelekea umenikariri mkuu😃Ukishajijenga kwenye misingi ya imani huna haki ya kumhukumu mwamba.
Kukariri kutunza kumbukumbu sio vibaya.Yaelekea umenikariri mkuu😃
Labda tu nikuambie kuwa IMANI, yaani , IMANI HALISI, SI UJINGA WALA UPUMBAVU! Ni facts, spiritual facts.
Kilichofanywa na "hao" ni kinyume na Biblical Faith!
halafu wao hawanaga majini na hawaanguki.
😂😂😂😂😂😂🤭
Una maana gani kusema spiritual facts?Yaelekea umenikariri mkuu😃
Labda tu nikuambie kuwa IMANI, yaani , IMANI HALISI, SI UJINGA WALA UPUMBAVU! Ni facts, spiritual facts.
Kilichofanywa na "hao" ni kinyume na Biblical Faith!
kama kiongozi wao papa karuhusu ndoa za jinsia moja hawa wengine wafanyaje sasa??Dini haina vituko wala mashaka vituko wanavyo baadhi ya waumini wa hiyo dini wasiojitambua.
Hii sasa ni zaidi ya bongo movie na sinema za kihindiWachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali.
ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
View attachment 2868690
Si mnasema Waislam majini ni ndugu zao sasa imekuwaje mchungaji atumie majini kufukuzia mapepo!Hio skafu ndo imebeba nguvu ya majini kufukuzia pepo
Majini wapo dini zoteSi mnasema Waislam majini ni ndugu zao sasa imekuwaje mchungaji atumie majini kufukuzia mapepo!
Anaingiza au anatoaWachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali.
ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
View attachment 2868690
Unaijua ulolokole. Nitajie makanisa matano tu ya kwanza ya kilolokole kuanza Tanzania mwaka 1920. Tusipende kugeneralize mambo kwa ujinga wa matapeli wachache.Kuna uzi Mwembamba sana kati ya ulokole na ukichaa.
Shetani amekuwa mwepesi sana siku hizi!Wachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali.
ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
View attachment 2868690
Mtu akisha kua mlokole lazima zimrukeUnaijua ulolokole. Nitajie makanisa matano tu ya kwanza ya kilolokole kuanza Tanzania mwaka 1920. Tusipende kugeneralize mambo kwa ujinga wa matapeli wachache.