Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

Unaona Mungu hayupo?

Ulitoka wapi wewe na utaishia wapi endapo hujamkubali aliye kuumba?

Endelea kuwaza kipumbavu maana hata kwa ujinga wako hujui kuwa hata mashetani yanaamini tena kwa kutetemeka kwamba Mungu yupoo na alikuwekea hata hilo domo lako ili ulopoke huo ujinga wako, ole wako.

We upumbavu unakusumbua, unajua dawaya ujinga ipo ila ya mpumbavu hakuna. Kwa sababu hiyo basi ninakublock tu sipendi wapumbavu mimi. We nimeuliza maswali kibao umeshindwa kujibu hata moja umekaa tu kusema aliyekuumba aliyekuumba, we una uhakika gani nimeumbwa na huyo unayemsema? Kazi kumezesha uongoumekua nao umekua mpumbavu kwenye bubble yako unahisi dunia nzima inakuzunguka. Ovyo kabisa we kweli kambi ya fisi
 
M
Hahaha, utasikia kaenda mbinguni.
Washika dini mtakufa na itakua mwisho wenu huku hamkufanya lolote la maana zaidi ya kuomba kiumbe ambacho hakipo. Huyu naona mungu wake hakumsikia mtakuja na explanation kua "ni mapenzi ya mungu" au "siku zake zimefika" hahaha nyooooko.
Huyo mungu wenu ka yupo basi covid imemshinda vibaya mno, sawa na magonjwa mengine yote, vita, natural disasters zote, amekaa anacheki tu hana la kufanya.
Mungu sio umbe
 
Nitapima mizani na kilichofanyika Kansas kisha nitapata majibu
 
Povu la nn sasa hadi ukimbilie kuniblock, Wewe kama ulijitengeneza mwenyewe endelea kumbeza huyo Aliyeumba mbingu na nchi na vyote vijazavyo nchi.

Wewe ni mavumbi tu ndugu na mavumbini utarudi.

Au wadhani utaishi milele?
 
Kumbuka kwamba kuwa uchungaji au uaskofu sio ticket ya utakatifu .Na sio kwamba Mungu hajauona huu ugonjwa .kunasomo ktk huu ugonjwa kikubwa chukua tahadhari za wataalam maana nayo ni maarifa ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, utasikia kaenda mbinguni.
Washika dini mtakufa na itakua mwisho wenu huku hamkufanya lolote la maana zaidi ya kuomba kiumbe ambacho hakipo. Huyu naona mungu wake hakumsikia mtakuja na explanation kua "ni mapenzi ya mungu" au "siku zake zimefika" hahaha nyooooko.
Huyo mungu wenu ka yupo basi covid imemshinda vibaya mno, sawa na magonjwa mengine yote, vita, natural disasters zote, amekaa anacheki tu hana la kufanya.
Nimesikitika sana juu ya andiko lako hili la kumdharau Mungu aliyekuumba kwa kiwango hiki. Mungu akusaidie na akufungue macho yako ya rohoni uone kuwa ulichoandika kimemvunjia heshima Mungu anayekupa pumzi ya kila siku, na uchukue hatua ya kutubu na usirudie tena uovu huu. Mungu ni mwema atakusamehe katika Jina la YESU KRISTO.

Amen
 
Haha we mshenzi kunizidi. We unamjua mungu yupi? Ulimuona? Si mlisema aliumba kila kitu leo unakataa sio yeye aliyeleta corona? Haha sasa imeumbwa na nani? Hehe umekariri chumvini tu inaonyesha akili yako ilivyojaa uchafu, tunaongelea swala la mungu wenu we unawaza kuzama chumvini? 😂 umasikini unakusumbua wewe
Wewe ndio lofa. Kwani corona ni kiumbe?.
 
Haha we mshenzi kunizidi. We unamjua mungu yupi? Ulimuona? Si mlisema aliumba kila kitu leo unakataa sio yeye aliyeleta corona? Haha sasa imeumbwa na nani? Hehe umekariri chumvini tu inaonyesha akili yako ilivyojaa uchafu, tunaongelea swala la mungu wenu we unawaza kuzama chumvini? [emoji23] umasikini unakusumbua wewe
Wewe ni mpumbavu kabisa. Umejuaje kuzama chumvini ni uchafu kama unakana uwepo wa Mungu?. Kujua mema na mabaya ni moja ya kutambua uwepo wa Mungu. Rejea kitabu cha mwanzo kabla ya adamu kula tunda walikuwa uchi wala hakuna aliyemuonea mwenzie aibu walipokuwa wakafumbuliwa macho wakajificha Mungu alipokuja akawauliza nani aliwaambia ya kuwa mu uchi?. Je mmekula lile tunda?. Kuanzia leo uanze kumwabudu Mungu Aliye hai kwani comment yako imedhihirisha uwepo wa Mungu.

Baada ya kusoma huu upumbavu wako nimekublock, usipoteze muda wako kunijibu sitoona message yako wala upuuzi wako mwingine utakaopost, sina muda na wapumbavu mimi. Go study
 
Baada ya kusoma huu upumbavu wako nimekublock, usipoteze muda wako kunijibu sitoona message yako wala upuuzi wako mwingine utakaopost, sina muda na wapumbavu mimi. Go study
Sawa wasalimie wote. Ila Mungu anakupenda na ninakupenda pia.
 
Back
Top Bottom