Kigonash
Senior Member
- Mar 20, 2020
- 113
- 106
Wala haifuti kuwa mungu ni mueza wa kila kitu na ni Mkuu kuliko coronaHuyu alikaidi maagizo ya kuzuia mikusanyiko mikubwa zaidi ya watu kumi ili kujilinda na kutoambukizana. Huyu alitaka waumini wake wasiogope coronavirus akidai Mungu atawalinda na hivyo waendelee tu kama zamani. Alichosahau huyu Askofu ni kwamba Mungu anakutaka ujilinde, Mungu hajaribiwi.