Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

Swali linakuja, Je, hao jamaa walipendana lini, walitongozana lini, wakapatana kuoana lini mpaka wakaamua kuchumbiana msibani?
 
Oweni tu vijana msiogope hivi vitisho, ila juwa tu kuwa mimali yote unayoitafuta kwa nguvu na hata wakati mwingine ukikesha ukitafuta siku moja utaziacha na huyo uliekuwa ukumuhangaikia atapata wa kumfariji na maisha yataendelea huku wakiendelea kuzitafuna mali zako taratiibu. Namuona hapo mjane vichozi vya kiuwongo vinamtoka kwa mbaali, huku akimfeel mume wake mpya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…