Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

Swali linakuja, Je, hao jamaa walipendana lini, walitongozana lini, wakapatana kuoana lini mpaka wakaamua kuchumbiana msibani?
 
Africa ya Kusini Huko... Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha..
.
Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi.
.
Pastor alisikia akimshukuru Mungu haswa kwa kuwa karibu na mjane katika wakati mgumu Akimuuguza Aliyekuwa mme wake, Shirika la habari CEN liliripoti..
Lieni na wanao lia.
View attachment 2297359
Oweni tu vijana msiogope hivi vitisho, ila juwa tu kuwa mimali yote unayoitafuta kwa nguvu na hata wakati mwingine ukikesha ukitafuta siku moja utaziacha na huyo uliekuwa ukumuhangaikia atapata wa kumfariji na maisha yataendelea huku wakiendelea kuzitafuna mali zako taratiibu. Namuona hapo mjane vichozi vya kiuwongo vinamtoka kwa mbaali, huku akimfeel mume wake mpya...
 
Back
Top Bottom